Ugumu wa kozi ya computer science

A

Amiry mafuzu

New Member
Joined
Jun 14, 2019
Messages
2
Points
20
A

Amiry mafuzu

New Member
Joined Jun 14, 2019
2 20
Habari wakuu nimechaguliwa kwenda kusoma BSc ya COMPUTER SCIENCE lakini nimekuwa nikisikia sikia kwamba kozi hii huwa ni ngumu. sasa naombeni wakuu mnisaidie ni ugumu gani upo kwenye kozi hii na vitu gani vya kuzingatia kwenye hii kozi?
 
Kyatile

Kyatile

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2017
Messages
1,007
Points
2,000
Kyatile

Kyatile

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2017
1,007 2,000
Maths zipo za kutosha lakini zaidi lazima uwe na analytical brain, high problem solving skills, high imagination.

Kama ulizoea kusoma kwa kukariri acha mapema.

Kwenye computer science mainly ni
MATHEMATICS hasa CALCUS, ALGEBRA, DESECRETE MATHEMATICS,nk..
SYSTEM DESIGN, ANALYSIS AND TROUBLESHOOTING,
PROGRAMMING,
NETWORKING,
DATABASE ADMINISTRATION,

Yote yanawezekana ila jitahidi tafuta prospectus mapema pitia huoa courses utakazo soma katika Computer Science. Jitahidi uwe na computer hata ya laki 2 na elfu 80, ila kama una uwezo nunua computer yenye specifications nzuri. Anza kupitia you tube upate overview about the computer, how the data is input and stored, the architecture of the computer and its systems, OS na mambo madogo madogo. Utajikuta unaanza kuwa excited kabla hujaanza hata chuo lkn mziki wake unataka a committed person
 
de98

de98

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Messages
502
Points
500
de98

de98

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2017
502 500

Mkuu, umenena vizuri hujakosea
Mm ni zao la computer science najivunia
 
yna2

yna2

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2018
Messages
7,413
Points
2,000
yna2

yna2

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2018
7,413 2,000
Maths zipo za kutosha lakini zaidi lazima uwe na analytical brain, high problem solving skills, high imagination.

Kama ulizoea kusoma kwa kukariri acha mapema.

Kwenye computer science mainly ni
MATHEMATICS hasa CALCUS, ALGEBRA, DESECRETE MATHEMATICS,nk..
SYSTEM DESIGN, ANALYSIS AND TROUBLESHOOTING,
PROGRAMMING,
NETWORKING,
DATABASE ADMINISTRATION,

Yote yanawezekana ila jitahidi tafuta prospectus mapema pitia huoa courses utakazo soma katika Computer Science. Jitahidi uwe na computer hata ya laki 2 na elfu 80, ila kama una uwezo nunua computer yenye specifications nzuri. Anza kupitia you tube upate overview about the computer, how the data is input and stored, the architecture of the computer and its systems, OS na mambo madogo madogo. Utajikuta unaanza kuwa excited kabla hujaanza hata chuo lkn mziki wake unataka a committed person
Umeandika ukweli mtupu
 
thanks mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,334,618
Members 512,061
Posts 32,481,533
Top