OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
- Thread starter
- #21
Dah acha tu mkuu ..tunatafuta namna ingine ya kutumia muda.Mkuu EPL hamna naona umeona utafute maish mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah acha tu mkuu ..tunatafuta namna ingine ya kutumia muda.Mkuu EPL hamna naona umeona utafute maish mengine
Kaza penye nia pana njia.Leo nimeanza Interface na Effects hope nitatoboa
Wekeza muda wako wa kutosha ku practice....kujua kuchora si lazima inategemeana unataka kufanya kazi gani.... pia software una download kwa kuanzia download free software zilizo kuwa cracked kama adobe CS 6 na za chini yake zinafanya kazi vizuri hata kwenye duo core zenye ram 2 na graphic ya less 500mb....in fact kama unaanza kusoma mwenyewe unacho hitaji ni bando lako la kupitia tutorial na kudownload vi plug-in.....Wakuu khabari zenu, naomba kujua namna ya kujifunza graphics design ni njia gani nitumie ili niweze kujua?
Napenda kujifunza vitu vipya ivyo naomba muongozo wa namna ya kufahamu na kuelewa kabisa graphite na kuja kuwa mtaalam yani ni base na kufanya hizi mambo napenda kinoma wakuu.
Asanteni.
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app