Google Chrome inakula RAM kuliko maelezo

Google Chrome inakula RAM kuliko maelezo

Upo sahihii...hata kwenye Simu ni hivi hivi
Na kuna mtu nilikua najadiliana nae hii asubuhi japo ilikua upande wa power, nikamtumia screenshot.

Inatumia power na RAM sana, Nilihamia opera ila nimerud maana kuna options nyingne ukiwa kwenye mtandao kufungua wana ku redirect through chrome au Mozira Firefox View attachment 1412484
Nimekutana na mjadala sehemu wanasema Chrome inameza RAM si mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiria kuihama hii browser kama nilivyoihama Mozilla Forefox.

Ipo heavy vibaya sana. Haitaki PC zilizo na uwezo mdogo. Inakula RAM kuliko maelezo. Inakula almost 20% of RAM.

Ukiifungua na programs nzito tegemea kucrash kila mara. Nimekuwa naijaribu nimepata hayo matokeo.

Mozilla firefox ilikuwa hivihivi. Nikaikimbia.

Nafikiria kuihama hii browser.

Nipe ushauri browser ipi inakaribiana uzuri na Chrome au Mozilla.

Chief-Mkwawa
lusungo
Sent using Jamii Forums mobile app
kuepuka hilo tatizo labda uwe unafungua tab chache
 
Nimekutana na mjadala sehemu wanasema Chrome inameza RAM si mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweliii, hembu cheki hii, tena hapo nili optimize Mida flan hivi
Screenshot_20200408-194354.jpg

App nyingne ambayo nimeipga chini ni JF through TapaTalk, ni nzuri kwa notifications za haraka lkn nayo inatembeza RAM hatar.
 
Nielezee hapo kwenye bitcoin mining kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza kuwa ni website, ama plugin/extension ama software nyengine inayotumia resource za pc yako kumuingizia hela mtengeneza hio website/program.

Mfano unawasha pc browser inajifungua kisha kuna website inafunguka yenye jina zuri zuri kama googleservice, windowsupdate etc kwenye hio website ambayo wewe unaiona kama haina madhara wanaweka script ya kumine hizo bitcon ama cryptocurrency nyengine.

Zipo mpaka websites maarufu kama thepiratebay wanafanya hizi mambo.

Kujua unacheza na task manager na ku observe behaviour ya website/program mbalimbali.
 
Najua una fahamu fika kuwa ram ni temporary storage so program moja kuwa ina chukua nafasi kubwa ni kutokana na matumizi yako Binafsi. ....na hiyo inatoka na program nyingi zimekua developed kuwa zina run auto au zinakua standby pindi unapo washa kifaa chako....kuhusu hii ya chome ni kawaida kwasabu wanatumia chome na wana log in kwa account zao za Google so hii program huwa inakua na plug in nyingi (add ons) ambazo zimekua embed from different vendors kama zile add blocker so utapo open tu chrome hata kama ukafungua tab moja zile plug in zilizo active zinaanza ku run na pia kuna wengine wana download hizo extra add ons na wana customize chome zao so hio inapelekea program ku consume nafasi kubwa so ukitaka isiwe ina chukua nafasi kubwa tumia ukiwa huja log in account yako hiyo issue hutaiona tena....usi laumu chrome fatilia matumizi yako utajua nini chanzo
Nafikiria kuihama hii browser kama nilivyoihama Mozilla Forefox.

Ipo heavy vibaya sana. Haitaki PC zilizo na uwezo mdogo. Inakula RAM kuliko maelezo. Inakula almost 20% of RAM.

Ukiifungua na programs nzito tegemea kucrash kila mara. Nimekuwa naijaribu nimepata hayo matokeo.

Mozilla firefox ilikuwa hivihivi. Nikaikimbia.

Nafikiria kuihama hii browser.

Nipe ushauri browser ipi inakaribiana uzuri na Chrome au Mozilla.

Chief-Mkwawa
lusungo
Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua una fahamu fika kuwa ram ni temporary storage so program moja kuwa ina chukua nafasi kubwa ni kutokana na matumizi yako Binafsi. ....na hiyo inatoka na program nyingi zimekua developed kuwa zina run auto au zinakua standby pindi unapo washa kifaa chako....kuhusu hii ya chome ni kawaida kwasabu wanatumia chome na wana log in kwa account zao za Google so hii program huwa inakua na plug in nyingi (add ons) ambazo zimekua embed from different vendors kama zile add blocker so utapo open tu chrome hata kama ukafungua tab moja zile plug in zilizo active zinaanza ku run na pia kuna wengine wana download hizo extra add ons na wana customize chome zao so hio inapelekea program ku consume nafasi kubwa so ukitaka isiwe ina chukua nafasi kubwa tumia ukiwa huja log in account yako hiyo issue hutaiona tena....usi laumu chrome fatilia matumizi yako utajua nini chanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
Same as applied to Android?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya yote tujue specifications za hiyo computer yako. Pia nikushauri ni vizuri kupiga windows 10 mpya kuliko ku upgrade. May be kama una Programs zenye license na unaogopa kupoteza

Zala Na Nga
Dell E6400
RAM:2GB
64-bit
Processor: Intel(R)Core(TM) 2 Duo CPU

Windows 8

Sina program yoyote ya muhimu
 
Hiyo ndio yenyewe sasa, ni browser yenye akili, kama unataka nyingine nzuri Labda microso edge, mbona hata RAM 1GB zinafungua vizuri tuu wewe unakwama wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dell E6400
RAM:2GB
64-bit
Processor: Intel(R)Core(TM) 2 Duo CPU

Windows 8

Sina program yoyote ya muhimu
Ohoo. Thou sio poa sana but kama windows 8 inarun na una enjoy hata windows 10 can.

Inabidi ujiandae na Bundle kama GB 5 kisha ntakuelekeza namba ya kupata hiyo updetor

Zala Na Nga
 
Kwenye simu yangu nikiikuta naidisable, Iliniwekea Virus kubwa hamna mfano
 
Back
Top Bottom