Recent content by mwanakazi

  1. M

    Rais anachagua vipi misiba ya kuhudhuria?

    JK was suppose to be Santa Claus (father Christmas) not a President.
  2. M

    Vitu gani vinahitajika kufungua kampuni?

    ..nimeshasajili business name BRELA, na nipo katika mchakato wa kumaliza kusajili kampuni na kupata licences, Hakuna usumbufu wowote nimekutana nao pale BRELA na hata kuregister wameniambia itachukua less than 3 working days. Ushauri wangu ni kuwa jitahidi uandae hizo documents (MEMART) tena...
  3. M

    Msaada: Kufungua agency/kampuni ya "labour recruitment".

    I hope all is well wanajamvi! Ninajishughulisha na masuala ya ujenzi (construction), mimi na wenzangu (baadhi ya kampuni za construction za wazawa) tuna mpango wa kuunganisha nguvu na kuanzisha kampuni ya ku'supply nguvu kazi (Labour Recruitment Agency) katika miradi mikubwa ya ujenzi...
  4. M

    Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

    SERIKALI YETU HAIJAWAHI KUNUNUA CT SCAN......HATA ILIYOPO MUHIMBILI NI MSAADA TOKA PHILIPS... CT SCAN YA MUHIMBILI AIKUNUNULIWA NA SERIKALI | Nyumbani
  5. M

    "Uchekibobu" unawaponza madaktari nchini Tanzania.

    Kwa wasiomjua Dr Imani Kondo au ZeMarcopolo kama anavyojiita wanaweza wasielewe kwa nini anasema hayo anayosema au anayohubiri kwenye mitando ya kijamii au kwa nini anawachukia hivyo madaktari wa Tanzania na anawapinga sana kwa gharama zozote katika mgogoro wao na serikali. Kwa ufupi huyu ni Dr...
  6. M

    Barabara za Juu kwa Juu kweli ni kwa ajili ya kupunguza msongamano?

    2 be honest kuna njia nyingi na bora zaidi za kupunguza foleni! hizo fly-overs ni either ubishoo wa Jk au ile kuuonyesha umma kuwa wanaweza "kufanya" mambo/kutimiza ahadi au itakuwa ni kauli mbiu ya kuombea kura 2015! kama ilivokuwa MACHINGA COMPLEX 2010! Lakini pia inaweza kuwa ni UJINGA WAO...
  7. M

    Tamko la madaktari bingwa MNH, MUHAS na ORCI

    please please please tusiishie kwenye keyboard tu wadau! mimi naiamini JF na naamini kuna watu makini sana humu ndani! naomba kama wewe ni mwandishi wa habari, kama ni polisi, kama ni mbunge, waziri, mkulima, mfanyabiashara, kama ni mama wa nyumbani, baba, kijana,mzee, au mwajiriwa wa...
  8. M

    Kumbe hata baadhi ya Wabunge wa Upinzani wanapokea Rushwa!

    Post Traumatic Stress Disorder.......psychological trauma ya kukosa "ulaji" imekuletea stress mkuu! JIpange upya...
  9. M

    Mchakato wa uteuzi wagombea ubunge wa EAC kupitia CHADEMA

    A.Komu atafaa sana. Jembe letu la UDSM enzi hizo!
  10. M

    Neno La Leo: Kuku Ana Mabawa Na Miguu, Lakini Huteleza!

    Hapo penye red! huo ni unafiki, upambe na kujipendekeza. Kauli ya bahati mbaya??!! mbona ajaisahihisha!! au kuifuta? au kuomba radhi? wewe Magid sijui, nani kakwambia kuwa hiyo ilikua ni bahati mbaya?? ndio walivyo hao..wamebaki kutukana na kuropoka tu! wameishiwa.... ...mimi ni hapo tu...
  11. M

    Madaktari - tutakutana na waziri mkuu jumatatu

    wanaouliza ma'dr wanapata wapi hela za ukumbi, naomba niwajibu kwa uhakika kuwa wanachangia wenyewe kila wanapokutana, na kuna maprofesa na madokta wakubwa wanachanga pia...hadi watu wa wizarani wanachangia pia!hawamtaki blandna nyoni........wanataka reform kwenye wizara! source:mwandishi wa...
  12. M

    Mwenyekiti wa kamati ya madaktari atishiwa usalama wake

    FORWARD EVER, BACKWARD NEVER. ITS EITHER NOW OR NEVER. from Dr's.
  13. M

    Dk Stephen Ulimboka Jembe na Nguzo ya MADAKTARI Nchini

    Madaktari watakutana j3..yote haya yalishajadiliwa kwenye meeting ya leo. Unless itoke taarifa kutoka kwenye kamati waliounda. Yetu macho..................
  14. M

    Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

    jana waziri ghasia alizungumza nao pale starlight' akasema interns wote wa muhimbili wamerudishwa muhimbili wakaripoti j3..madaktari waliwasilisha taarifa yenye hoja na madai yao kwa ghasia ampe waziri mkuu. Bado ni tatizo zito sana, serikali inaelekea kushindwa kulihandle kwa umakini na...
  15. M

    Mgomo Wa Madaktari: Jee, Serikali Kuwafukuza Kazi Kwa Summary Dismissal kwa "Insubordination"?

    Altimutum hii na tishio la kuwafukuza kazi ni mpango wa Iron Lady Mama Blandina Nyoni, "never on earth to bow down on anyone!"!. .....sifa za kijinga! Wait and see! go go go madaktari! watanzania tutawaunga mkono punde.
Back
Top Bottom