Kwa wasiomjua Dr Imani Kondo au ZeMarcopolo kama anavyojiita wanaweza wasielewe kwa nini anasema hayo anayosema au anayohubiri kwenye mitando ya kijamii au kwa nini anawachukia hivyo madaktari wa Tanzania na anawapinga sana kwa gharama zozote katika mgogoro wao na serikali. Kwa ufupi huyu ni Dr mwenzao but yeye alisomea nchini Czech na alimaliza A-level Ilboru (nilikua nyuma yake ki'madarasa)..aliporudi nchini kwa ufupi ni kwamba "udaktari ulimshinda" kwa sababu almost kila mgonjwa aliyekua akipita mikononi mwake alikua aponi au alionja umauti (nakumbuka watu wa Lugalo na wafanyakazi wenzake walikua wanamwita Dr Chinjachinja), kutokana na malalamiko kuwa mengi Hospitali ya Lugalo ilimuita na kumweleza kuhusu hayo malalamiko na shutuma dhidi yake' lakini alijitetea kuwa mazingira aliyosomea,Czech na hospitali za kule na hata magonjwa ya kule ni tofauti sana na ya huku Tz, so he need to learn zaidi kwa hiyo wamsamehe na akaahidi kuwa atafanya juhudi zaidi kujifunza toka kwa madaktari wenzake, Hospitali ya Lugalo iliamua kumweka chini ya uangalizi wa madaktari wenzie (ambao wengi walikua wamesomea hapa nchini, MUCHS) na hakuruhusiwa kugusa mgonjwa isipokuwa chini ya supervision ya wenzake, ambao wengine walikua schoolmates Ilboru na Mzumbe. Wanaomjua na waliokua nae karibu wanasema jambo hilo lilimsononesha sana ukizingatia kuwa secondary alikua "kichwa sana" na wanadai kuwa alikua anapata stress sana kuona wenzake waliosomea hapa nchini,hususani MUCHS walivokuwa competent huku yeye akionekana zuzu na incompetent. Uhusiano wake na madaktari wenzie ulikua ukidorora siku hadi siku, na alikua akisema kuwa madaktari wa bongo wanajifanya wajuaji na wanajidai sana, wanamdharau na kudharau madaktari wenzao waliosomea nje, na pengine wanamuonea wivu kwa kuwa kasomea nje..akawa anawaambia kuwa yeye ana akili sana na alikua akiwaburuza tokea Mzumbe na Ilboru kwa hiyo atawashinda/atawaburuza hadi kwenye maisha, akawa anawambia maneno ya kuwakatisha tamaa kuwa watakufa maskini na dharau zao na udaktari wao wa bongo hata kama wanajifanya wanajua sana kutibu...yeye akasema anaenda zake kupiga deal za NGOs na anaingia kwenye siasa...TOKEA SIKU HIZO JAMAA AKAAMUA KUTOKUJIKITA ZAIDI KATIKA KUTIBU, AKAKIMBIA FANI YAKE NA AKATANGAZA VITA NA MADAKTARI WALIOSOMEA NCHINI NA WANAOMUONA YEYE NI "INCOMPETENT Dr" au "Dr CHINJACHINJA" KAMA WAFANYAKAZI WA LUGALO WALIVOKUA WANAMWITA...nasikia alianzisha NGO inaitwa COMMUNITY ORGANIZATION ACTION na akawa anajaribu kuwa karibu (au kujipendekeza kwa lugha sahihi) na viongozi wa CCM na wa kiserikali, na amekua mara nyingi sana akionekana na Nape na viongozi wa UVCCM akiwamo Ridhiwani Kikwete, na inasemekana mwaka 2010 alijaribu kutupa karata yake kwa kugombea ubunge huko morogoro vijijini lakini walimtosa.... HUYO NDIO DR IMANI H. KONDO a.k.a ZeMarcopolo! au Dr CHINJACHINJA WA LUGALO.. mimi namshauri tu akae chini na wenzake aache kinyongo na visasi.... aelewe kuwa akili za darasani za darasani tu!sio akili za maisha! unaweza ukafaulu kujibu mitihani lakini ukashindwa kumudu kazi yako vyema, hayo ni mambo ya kawaida, asiwe na stress.. na pia asitafute short cut ya kutoka kimaisha.