Rais anachagua vipi misiba ya kuhudhuria?

Rais anachagua vipi misiba ya kuhudhuria?

Kigezo hapa ni idadi ya wapiga kura iliyoko nyuma ya mgongo wa marehemu time is money huwezi kutupa wakati wako mahali ambako hutegemei kuvuna chochote
 
Anapenda misiba ya kuuza sura
 
wandugu msije kua mmesahau kua raisi naye ni mwanasiasa,kazi kubwa ya wanasiasa ni kutafuta kupendwa.ndo mana mimi siamini wanasiasa ni viongozi,,,,,,,,,,,,,ipo tofauti kati ya kiongozi na mwanasiasa
 
MIE NAONA WANAHUDHURIA SEHEMU AMBAYO NI RAHISI KUPATA CHEAP POPULARITY.....akienda huko kwa hao wasomi wasiofahamika hatapta fame kama akuhudhuria misiba ya bongo movie stars
 
Hujamuelewa mtoa mada hata kidogo
Kwenda kuzika au kutokwenda kuzika huo ni uamuzi wa mtu yoyote, kwani Raisi akienda ndio maiti inafufuka au? Wewe umeuhudhuria misiba yote hapa Tz!
 
wadanganyika na nyie wepeeeesi wa kusahau..kumbukeni hya matukio ndio mtajua kwann raisi wenu anapenda kwenda misiba ya waigizaji na wasanii wasiokuwa na lolote kwa maslahi ya taifa
1- picha na boyz 2 men
2- picha na 50 cent
3- picha na beckham
4-picha kwenye mabembea ya jamaica
5-picha na steven seagul
6- picha na teja ray-c.

matukio yooote hayo sijawahi kumsikia au hata kuona amapiga picha na wafuatao
1- obama
2- mandela
3-bill gates
4-bakhresa
5-prof shivji
6- butiku
7- dr. slaa
8- babu seya
9- liyumba amatus
10-mwl. j.k. nyerere

tafakarini kisha chukueni hatua..huyu ni raisi wa misiba isiyo na tija kwa taifa...na watanzania at large.
 
kwa huu uzi unaonekana kabisa we ni daktali au umetumwa na hao watu.....pole sana ukifa ww tutamwambia aje.
 
Hii nimekopi kwa Ritz, nikafanyia editing, nika-paste.

Wanabodi,

Kwa nini Dr. JK anapenda kwenda kwenye misiba ya wasanii wetu. Dr. JK anaonekana kwenye misiba michache ya wananchi wasio wasanii ambayo ina maslahi na CCM.

Dr. JK mbona unawatenga wananchi wengine wewe ni kiongozi usichague misiba ya kuhudhuria watanzania wasio wasanii nao ni wapiga kura.

Dr. JK jifunze kutoka kwa viongozi wengine uwe mtu mwenye kujali hata watanzania binadamu wengine ambao si wasanii.
 
blueray,

..kila anayesaidiwa na JK lazima apigwe PICHA.

..kila msiba anaohani lazima wafiwa wapigwe PICHA.

..WHY??
 
coz anapenda cheap populality, jamaa ni mtu wa kupenda kuonewa huruma, anaficha mambo yake ya kiutendaji kupitia misiba.
 
Kwanza nipingane na wewe mkuu,

Katika ardhi ya Tanganyika, Zanzibar na Tanzania hakuna mtu anaeitwa Dr JK au Dr Jakaya Kikwe!

Tunae rais anaeitwa NDUGU Jakaya Mrisho Kikwete!

Nikirudi kwenye mada,

Rais wa nchi na serikali yake yote ni wasanii, hivyo huhudhuria misiba ya wasanii wenzao, na pia ni mtafuta sifa za kijinga!
 
Kigezo hapa ni idadi ya wapiga kura iliyoko nyuma ya mgongo wa marehemu time is money huwezi kutupa wakati wako mahali ambako hutegemei kuvuna chochote
wewe na yeye mnafikiria kivulanavulana. hata kwenye misiba mnawaza kuuza sura tu?kweli dunia ina watu.
 
JK hajui nguvu ya madaraka yake, amafanya Urais uonekane kama kiranja wa shule ya msingi
 
Back
Top Bottom