Mchakato wa uteuzi wagombea ubunge wa EAC kupitia CHADEMA

Ungejua usemacho wala usingeandika hivi. Wanaochagua wabunge wa EAC ni bunge zima, sasa jiulize wengi ni wapi ndani ya bunge? Wanao amua hapa nani awe mbunge ni CCM

CCM wameishaamua kuwa watampa Mbatia wa NCCR mageuzi; hata siku moja hawatampigia mgombea wa Chadema!
 
Hapo ndipo Cdm huwa wanawapigia magoti ccm kuwaonea huruma, si utaona mwenyewe

Acheni uongo, ni lazima kuna uwiano fulani katika kuwapata wabunge hawa na hivyo kuondoa uwezekano wa wabunge hawa kujipendelea madaraka pekeyao.
 
Kwenye hizi nafasi tisa(9);
CCM ina nafasi ngapi?
CDM ina nafasi ngapi?
CUF ina nafasi ngapi?n.k.
 
nimeikosa hii. fomu mbona hamkututangazia hapa jf tukazichukue kama mlivyotutangazia sasa hivi? au hamkuhitaji GT!?. hata hivyo walio chukua fomu wote wanafaa. big up chadema.
 
Ningepata taarifa mapema ningejaza fomu niende kuwawakilisha vijana bunge la EAC.Ila japo nina kadegree,umombo bado wa kuungaunga sana japo naijua vema East Africa
 
Naomba mnijulishe kuwa wapinzani wana nafasi ngapi? maana bunge hili linalomaliza muda wake upinzani walikuwa na nafasi moja tu, ambayo CCM walimpa Dr. Masha na kumwacha Prof Baregu. Tatizo kubwa ni kuwa CCM wanampa mtu wanayemtaka kutoka upinzani mwenye haiba ya uccm.
 
Back
Top Bottom