Recent content by Mtoto wa kijijini

  1. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya 18 ya uzazi

    pia mimi nimempigia mganga akaniambia inaweza kutoka hadi kuja kukutana tena na damu ya hedhi ya mwezi kwa hiyo inawezekana kuna kaukweli
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya 18 ya uzazi

    mamaaaaaa mbona nimeshaharibika kama ndo hivyo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ya kutibu jipu

    kolgeti ndo inatumbua vizuri
  4. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya 18 ya uzazi

    asante mpendwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya 18 ya uzazi

    Wapendwa herini ya krismas Naombeni msaada kwa yeyote anayejua mimi nilijifungua leo ni siku ya kumi na nane na uchafu bado unaendelea kutoka je kuna tatizo kiafya?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

    acha uongo bhana naare na mchaga wapi kufanana labda kidogo machame ndo wanalandana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Paul Kagame wa Rwanda, akagua gwaride la Jeshi la Tanzania (JWTZ)

    ndo mana ikawa gwaride ulitaka watumie zipi unazofahamu wewe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Moderator wa Jamii Forums wa kike?

    Mletaada hebu jichungulie hivi wewe ni ke au me ukipata jibu urudi hapa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ aliyefariki Tanga Azikwa

    mh mie mpitaji tu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu hasikii

    mmarangu! kafanya nn? labda kikwenukwenu kwani wamarangu tuko poa saaaaaana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nitumie application gani kupata sms anazotumiwa mpenzi wangu?

    jamani wekeni humu nami nikiu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wawaua waasi waliojisalimisha

    jeshi lenye maamuzi sahihi huwa halirudi nyuma
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uongo na Hadithi za Kutungwa vilivyogeuka ukweli wa Dunia Kumuhusu Samaki Mtu

    ningekuwa najua kupost pich ningetuma za kutosha
Back
Top Bottom