siku ya 18 ya uzazi

Oct 12, 2013
95
70
Wapendwa herini ya krismas

Naombeni msaada kwa yeyote anayejua mimi nilijifungua leo ni siku ya kumi na nane na uchafu bado unaendelea kutoka je kuna tatizo kiafya?
 

HORSE POWER

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
1,717
2,000
Hakuna tatizo dada 'angu.Hiyo ni hali ya kawaida baada ya kujifungua na inaweza kuchukua hata siku 40.
 

Tareeq

JF-Expert Member
May 3, 2010
782
500
Oooh dear me !!! Tazama kadi yako ya uja uzito ! Ulitakiwa kuhudhuria kilinik ya baada ya kujifungu katika siku ya 7 na 28 ili kukaguliwa pamoja na mabo yoote ni kurejea kwa mji wa mimba katika pango la nyonga, na kupotea kwa damu ya kujifungua , hali ya matiti, joto la mwili na unyonyeshaji . Kwa hakikika iwapo mpaka leo Huo "UCHAFU" Kama unatoka nakushauri uende kituo/hospitali yoyote unayoweza kuifikia ili ukaguliwae na kupata huduma inayostahili ili ukaguliwe aina ya huo uchafu na mambo mengine yanayompasa mama aliye jifungua please NENDA
 
Oct 12, 2013
95
70
Oooh dear me !!! Tazama kadi yako ya uja uzito ! Ulitakiwa kuhudhuria kilinik ya baada ya kujifungu katika siku ya 7 na 28 ili kukaguliwa pamoja na mabo yoote ni kurejea kwa mji wa mimba katika pango la nyonga, na kupotea kwa damu ya kujifungua , hali ya matiti, joto la mwili na unyonyeshaji . Kwa hakikika iwapo mpaka leo Huo "UCHAFU" Kama unatoka nakushauri uende kituo/hospitali yoyote unayoweza kuifikia ili ukaguliwae na kupata huduma inayostahili ili ukaguliwe aina ya huo uchafu na mambo mengine yanayompasa mama aliye jifungua please NENDAmamaaaaaa mbona nimeshaharibika kama ndo hivyo
 

DIKE

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
346
250
Mimi juzijuzi ndugu yangu alijifungua. Nurse akasema damu zinaweza toka hadi siku ya 42
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom