Wanajeshi wawaua waasi waliojisalimisha

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,720
2,000
141001114235_drc_rebels_640x360_bbc_nocredit.jpg

Waasi DRC


Wakaazi wa kazkazini magharibi mwa Burundi wameiambia BBC kwamba walishuhudia wanajeshi wa serikali wakiwaua waasi aliojisalimisha.

Wanakijiji wa mkoa wa Cibitoke walisema kuwa takriban waasi 17 walipigwa risasi na kuuawa mapema mwezi huu baada ya kusalimu silaha zao. Wakaazi baadaaye waliagizwa kuwazika waathiriwa.Utambuzi wa waasi hao waliovuka mpaka kutoka DRC haujulikani. Jeshi la Burundi limekana kuchukua sheria mikononi mwao. Hatahivyo msemaji wa jeshi hilo amesema kuwa waasi hao waliuawa katika vita.


Chanzo: BBC
 

Farudume

JF-Expert Member
Jan 10, 2013
3,953
2,000
Anayetubu husamehewa.Jeshi la Burundi limekosea sana kuwaua waasi waliojisalimisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom