Kuna Moderator wa Jamii Forums wa kike?

Kuna Moderator wa Jamii Forums wa kike?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Nauliza tu jamani, kuna moderator wa kike kati ya moderators wote wa Jamii Forums.Just out of curious if Jamii Forums is an equal employer.
 
FaizaFoxy yupo jukwaa la lugha. Ukikosea ukasema L badala ya R anakupa onyo, ukirudia ban ya siku 3!
 
Last edited by a moderator:
kaah! Huyu ni noma

Huyu noma, hajaligi hata jukwaa inapokuja suala la L na R, hata kwenye jukwaa la sports ukivurunda unaweza shangaa akaibuka, kaweka sensors za L na R kwenye JF account yake nafikiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom