Mateja katika picha: Hivi mtu unaanzaje anzaje kujishindilia sindano za mshipa?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
23,084
2,000
Kuna vitu ambavyo naturally utajikuta we mwenyewe unafanya tu kulingana na biological design; mfano kula misosi mitamu, kugegeda warembo,kunywa maji ya juice ya machungwa, kulala usingizi mnono nakadhalika nakadhalika.

Sasa je, hili suala la kubwia unga na kujidunga sindano huwa linaanziaga wapi?! maana mwili wala huwa hauitaji hivyo vitu in the first place, sasa nini kinasababisha mtu atumie at all mpaka inampelekea kua addicted?!

teja.jpg

Baadhi ya watumiaji wa dawa za kulevya wakimsikiliza RCO kilimanjaro Linus Sinzumwa.

IMG20140726WA00041.jpg

Msanii akiwa amedakwa huko China. Tumbo lake kama unavyoliona limevimba disproportionately kutokana na kujishindilia pipi za madawa kupitia njia ya haja kubwa.

dawadawa.jpg

Hapa teja anapata dawa yake baada ya kukaba na kupora watu kwenye vituo vya daladala.

NB: Arosto inapowashika huwa wanateseka mno! infact wenyewe wanadai arosto huwa inauma sana kiasi kwamba kama kuna bastola karibu anaweza akajipiga risasi ya kichwa ili apumzike na mateso.

Angalizo: Mtu mwenye mateso makali kiasi hicho hatofikiria marambili kukunyofoa koromelo lako ili achukue Iphone yako akapate dawa, kaeni mbali.

diouf-1.jpg
Hapa diouf akijisikia kama yuko peponi vile baada ya kupata dawa yake, ni kweli kabisa unakua kama uko peponi vile (wenyewe wanadai).

backrisasijmosi4656.jpg

Kibaya zaidi watu wanfikiri kuwa msanii ni lazima utumie madawa. Nasikitika kusema hawa wote ni potential cadavers.

USHAURI: USIJARIBU MADAWA YA KULEVYA KAMA HUJAANZA. UKIANZA UTAJUTA MPAKA HATA UKIWA NDANI YA KABURI LAKO.
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
54,574
2,000
Ukiona mtu anafikia stage ya kujidunga sindano ujue ameshakuwa chronic hata a kivuta unga kwa kuchanganya sig ara Au bangi Hapati stimu
Ndio maana anajidunga a kupita mishipa yake ya mwili
 
Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,138
2,000
kwa mfano ukimchukua huyo muuzaji ukajifanya na wewe unataka dawa si atakupeleka anaponunua? na ukishampata ukamwambia unataka mzigo wa jumla si atakupeleka anaponunua

Si unakamata mtandao wote kwa siku moja tu ?

Ndio maana jk alisema orodha anayo nadhani alifanya uchunguzi wa hivyo.
 
upupu

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
614
250
Anayeanza kubwia unga ni sawa na aliyeanza kunywa pombe, au kuvuta fegi, vyote hivyo mwili hauhitaji, tho dawa imezidi kwa madhara.
 
superstar1

JF-Expert Member
Oct 10, 2014
222
225
Hawa wote hata wakibwia mpaka wafe poa tu, ila roho inaniuma kwa Wolper tu!!!

Kuna vitu ambavyo naturally utajikuta we mwenyewe unafanya tu kulingana na biological design; mfano kula misosi mitamu, kugegeda warembo,kunywa maji ya juice ya machungwa, kulala usingizi mnono nakadhalika nakadhalika. Sasa je, hili suala la kubwia unga na kujidunga sindano huwa linaanziaga wapi?! maana mwili wala huwa hauitaji hivyo vitu in the first place, sasa nini kinasababisha mtu atumie at all mpaka inampelekea kua addicted?!

teja.jpg
Baadhi ya watumiaji wa dawa za kulevya wakimsikiliza RCO kilimanjaro Linus Sinzumwa.

IMG20140726WA00041.jpg
Msanii akiwa amedakwa huko China. Tumbo lake kama unavyoliona limevimba disproportionately kutokana na kujishindilia pipi za madawa kupitia njia ya haja kubwa.

dawadawa.jpg
Hapa teja anapata dawa yake baada ya kukaba na kupora watu kwenye vituo vya daladala. NB: Arosto inapowashika huwa wanateseka mno! infact wenyewe wanadai arosto huwa inauma sana kiasi kwamba kama kuna bastola karibu anaweza akajipiga risasi ya kichwa ili apumzike na mateso. Angalizo: Mtu mwenye mateso makali kiasi hicho hatofikiria marambili kukunyofoa koromelo lako ili achukue Iphone yako akapate dawa, kaeni mbali.

diouf-1.jpg

Hapa diouf akijisikia kama yuko peponi vile baada ya kupata dawa yake, ni kweli kabisa unakua kama uko peponi vile (wenyewe wanadai).

backrisasijmosi4656.jpg

Kibaya zaidi watu wanfikiri kuwa msanii ni lazima utumie madawa. Nasikitika kusema hawa wote ni potential cadavers.

USHAURI: USIJARIBU MADAWA YA KULEVYA KAMA HUJAANZA. UKIANZA UTAJUTA MPAKA HATA UKIWA NDANI YA KABURI LAKO.
 
silent lion

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
777
1,000
kwa mfano ukimchukua huyo muuzaji ukajifanya na wewe unataka dawa si atakupeleka anaponunua? na ukishampata ukamwambia unataka mzigo wa jumla si atakupeleka anaponunua

Si unakamata mtandao wote kwa siku moja tu ?

Ndio maana jk alisema orodha anayo nadhani alifanya uchunguzi wa hivyo.

Mkuu uko sawa kabisa. Hapa ndo utaona na serekali wenyewe wana mkono katika biashara hii.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
21,875
2,000
Ni sawa na pilipili mkuu.aliyeigundua sjui slijiskiaje siku ya kwanza na akaamua kuendelea.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom