Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,195
2,000
Hujanijibu swali langu kwa ufasaha.Nilitaka kujua kama wameru wa tz na wa huku Kenya ni wale wale ni kabila moja lilipoteana au vipi?Wameru wa Kenya wanaishi kando ya mlima Kenya na ni wakulima na kwao vyakula vya aina nyingi viko kwa wingi sana pia wanapanda majani chai na kahawa.Kitega uchumi chao kuu ni mmea wa mirungi.Wanapata hela sana kwa mirungi na utapata gari zao za mirungi zikielekea uwanja wa ndege JKIA kwa kasi ya ajabu.Hiyo ndo sifa yao mambo yote yao wanafanya kwa kukurupuka na pia wana hasira kali mno.Ukimtania anakukata kwa panga,wanakatana kwao saana na mapanga na visu ambavyo wengi wao hawakosi kutembea navyo.Hadi mwanaume asipoonekana ana alama au hata amekatwa pua au sikio kwao huyo si mwanaume!

Watakuwa na uhusiano wakaribu na Wakurya!Mimi nimechanganya toka Meru na Machame!
 

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,127
2,000
Nimejikuta napenda sana kimeru yaan sana tu atakayeweza kunifunza kimeru awe anachat na mim kwa msg kimeru 2 ningefrah
 

kokunana1982

Senior Member
Nov 21, 2015
119
195
Hao walikuwa wachaga, ila walivyoanza ishu zao za kuchoma makanisa ,wakawatenga kwa hiyo wale ni wamasai flan hiv na wanahasira hao usije wazengua wakiwa na kisu krb, kiandu kitakuusu.
 

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
21,626
2,000
teh teh sijui watu wanadaiwa magauni ya krismas hawajapata namna mpaka saa hizi! hizi hasira siyo za kawaida
 

cyberspace

JF-Expert Member
Jul 23, 2011
723
500
Wana roho mbaya, ni watu wa visasi, chuki , fitina nk Ukiwa kazini akawa subordinate wako jiandae na hujuma lazima ushushwe. Generally speaking kaa nao chonjo. Watu watajibu kwa mihemuko lakini ndo ukweli na log off
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom