Mwanamke huyu hasikii

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
2,362
2,000
Hivi wanajamvi ukiwa na mwanamke asiyesikia kiburi anatukana na anayekosa na baada ya kosa anaomba msamaha kwa kunyenyekea sana na baada ya wiki au mwezi anarudia kosa lile lile au linalofanana na lile au baya zaidi.

Kimsingi usaliti hajawahi kukutwa nao lakini hayo makosa mengine ya kiburi na akikasirika hata anakuambia watoto ni wake tu anakutimua toka ndani kwakwe lakini nyumba ni ya kupanga na mwanamme ndo analipa kodi.

Sasa mwanamke wa namna hii na watoto wawili wapo unaweza mfanya nini niwaombe tu dada zangu na mama zangu mnapokuwa mmeolewa jaribuni tu kuwaheshimu kwani wanaotafuta wanaume wa kuwaoa ni wengi,usitukani jaribu tu kutoa kusema anastahili adhabu gani wana jf.
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,819
2,000
Hahahaha atakua Mnyakyusa, Mmarangu au Mtu wa Mara huyo, tabu tupu, Mie wa kwangu wa Tanga line full raha aiseeee....... (just kidding)

Kaeni zungumzeni na hili la kukaaa na kuzungumza halihitaji kukaa kuwe rasmi, hali inapojitokeza jishushe maana hujaongea ya kwako pia, inawezekana unamtukana sana hata yale ya nguoni something that maybe sio kitu kizuri kwake. Jifunze kumsikiliza, usimhusishe mtu kwenye mambo yako, rafiki yangu mmoja alikua na matatizo kama hayo, akaona mtu wa karibu kumweleza ni ndugu yake wa kuzaliwa, kaka yake mkubwa, ohoooo kaka si akamlamba shemejie, yaani badala ya kusovu ni kajenga bomu kubwa zaid. Hakuna proper formula
 
Oct 12, 2013
95
70

mmarangu! kafanya nn? labda kikwenukwenu kwani wamarangu tuko poa saaaaaana
 
Gide MK

JF-Expert Member
Oct 21, 2013
7,619
2,000
Unalipa kodi wewe halafu unatimuliwa,uf.la wa kiwango cha juu sana
 
miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,894
2,000
cha kufanya TAFUTA HELA , KUWA BUSSY , unakuwa loose ndiyo maana unaona utumbo mwingi wa mkeo.... anza kujenga shinda site ukitoka job pitia site kaa huko rudi nyumbani kula kunywa angalia taarifa ya habari lala... ila kama unakaa naye kwenye tv mnafuatilia tamthilia lazima mgombane tu... nilichogundua nyie wawili hakuna kitu kinawaweka pamoja kama wote kupenda utani..... kusikiliza music ... umbea ..... na pia sex yenu ni tooo formality ...
 
Rohombaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
12,497
2,000
Piga mashine sawasawa labda inaguswaguswa tu ndiyo maana anahasira. Acha kumshambulia na kitu chenye ncha butu. Mpige muhogo atatulia tu
 
miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,894
2,000
Kuwa na watoto ndiyo anitimue,kodi ninalipa mwenyewe!ningekuwa mimi siku nyingi tu nimeshamjeruhi huyo mwanamke na kitu chenye ncha butu

ha ha ha hahaha yani nikiwa na mwanao sahahu pale ni kwako au kwangu .. pale ni kwa mtoto ukitaka sepa na mi nisepe eeh kujitia jeuri wakati una mtoto ni nini? unitimue nikateseka huko na mtoto akuu utaondoka au mi niondoke ila mtto atabaki ...sasa swali atabaki na nani hapo sasa?
 
UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
2,362
2,000
Hahahaha atakua Mnyakyusa, Mmarangu au Mtu wa Mara huyo, tabu tupu, Mie wa kwangu wa Tanga line full raha aiseeee....... (just kidding)

Kaeni zungumzeni na hili la kukaaa na kuzungumza halihitaji kukaa kuwe rasmi, hali inapojitokeza jishushe maana hujaongea ya kwako pia, inawezekana unamtukana sana hata yale ya nguoni something that maybe sio kitu kizuri kwake. Jifunze kumsikiliza, usimhusishe mtu kwenye mambo yako, rafiki yangu mmoja alikua na matatizo kama hayo, akaona mtu wa karibu kumweleza ni ndugu yake wa kuzaliwa, kaka yake mkubwa, ohoooo kaka si akamlamba shemejie, yaani badala ya kusovu ni kajenga bomu kubwa zaid. Hakuna proper formula

heri yenu na hongereni
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom