Unaweza ukamwokota mbwa njiani, kisa umemwona akimbwekea mtu alotaka kumpokonya mtoto andazi.. Mbwa huyo ukaona anafaa kufuga. Ukampeleka kwako, hukujali kelele za majirani kuhusu ushenzi wa mbwa huyo...
Ukaingia buchani na kwenye machinjio, ukakusanya kwa bidii ngozi za kumlisha, ukampeleka...