Utafiti: Ndoa ndio mtihani mgumu kufaulu kuliko shule

Mtalebani

Member
Aug 22, 2014
23
57
Utafiti Umeonesha kwamba'' ni Ndoa tu ndio Shule ngumu sana KUFAULU kuliko shule zote, na ndio maana unapewa Cheti chake kwanza' halafu mitihani yake unaikabili baadae'' la sivyo' Ingeanza mitihani wengi wangetoroka shule na wachache wangefaulu kupata cheti.! Jitahidi kuvumilia kwani waweza badili shule zote' lakini Ugumu wa SOMO ni uleule'' WATUMIE WANANDOA WENGINE ILI WAKABILIANE NA CHANGAMOTO KTK NDOA ZAO.

#HONGERA_DADA_YANGU_UMEPATA MME POTABO.
2017-01-06+13.43.00.jpg
 
Utafiti Umeonesha kwamba'' ni Ndoa tu ndio Shule ngumu sana KUFAULU kuliko shule zote, na ndio maana unapewa Cheti chake kwanza' halafu mitihani yake unaikabili baadae'' la sivyo' Ingeanza mitihani wengi wangetoroka shule na wachache wangefaulu kupata cheti.! Jitahidi kuvumilia kwani waweza badili shule zote' lakini Ugumu wa SOMO ni uleule'' WATUMIE WANANDOA WENGINE ILI WAKABILIANE NA CHANGAMOTO KTK NDOA ZAO.

#HONGERA_DADA_YANGU_UMEPATA MME POTABO.View attachment 455052
huyo ni babu yake, wamepiga picha ya pamoja tu
 
Acheni uzandiki chaajabu nin..nenda usukumani au umasaini utakuta baba wa miaka 80 anachukua dogodogo..ya miaka 14
 
Hako kademu kamefuata pesa tu hapo hakuna mapenzi ya kweli.
 
Huyo kaka mbona wa kawaida, kuna ambaye nilimuona maeneo ya marangu hukoo pande la mtu halafu huyo dada mwembamba halafu ana kijacho, aisee walipanda kwenye gari yao unaona kabisa inadidimia ndugu, hapana chezea
 
Back
Top Bottom