Wahenga walisema..."mdomo uliponza kichwa"

Mtalebani

Member
Aug 22, 2014
23
57
Hatimaye maisha ya MTAANI yamnyoosha Msemaji wa Yanga-JERRY MURO.
FB_IMG_1483617029205.jpg
 
Wamfungulie tu. Yeye na mwenzake wa Simba wanachangamsha habari za soka na kuhamasisha ushabiki, which is not that bad.
 
Amalizie Adhabu sasa anataka aachiwe ili aendeleeze domo kaya?
 
Mahaba yamekuelemea kwa njisi ulivyotoa Taarifa !
Hivyo bila tone la shaka utakuwa Simba mula majani.

Btw;Mpira wa bongo Ujanja-Ujanja mwingi.
 
Wabongo tuna shida sn mtu akiona mwenzie yupo kwenye shida anafurahia, akisikia ametumbuliwa anashangilia wakati kwake yeye haitomsaidia lolote. Tuache roho mbaya ni vizuri asamehewe aendelee na shughuli zake kuna watu wapo nyuma yake wanamtegemea.
 
Back
Top Bottom