Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

Mkuu pole sana....ama kwa hakika unampenda mkeo...nani chaguo la moyo wako....endelea kumpigania mkeo...mkuu...

Ni kweli nampenda,na hata wew nakushaur umpende wakwako, kwani wew humpendi?!.nakushaur umpende pia mkuu !!
 
Hii kitu imewasaidia wengi sana ukiwaona wakikwambia kama waliwahi kuwa na chunusi na lilikuwa ni tatizo kubwa utakataa. Dada mmoja baada ya miezi miwili aliona mabadiliko makubwa sana na tatizo hili halijarudi tena, ila sijui kama inapatikana hapa nchini. Kila la heri.

http://www.proactiv.com
 
Fid Q na Matonya wanahusika na hili swali, wanaweza toa jibu zuri.
 
Kama unaweza pata acanya na minocycline 100 capsules ,apply acanya on your face nighttime,wash your face with oil free acne neutrogena before apply acanya
 
Anaweza kufanya masaji usoni kwa mafuta maalum ya choya, mwarubaini, mlonge,ubuyu yaliyochanganywa katika kibuyu kimoja!
 
pole kama uko Dar nenda S.H Amon kuna sabuni wanazo zinaitwa
MASTER SOAP ni nzuri sana pamoja na SKINEAL hii inapatikana duka la dawa vitamsaidia! kila kheri Ngurubhe!
 
Last edited by a moderator:
Inaoneka kwa hivi!!!

Tiba ya asili, achanganye unga wa dengu na kiini cha yai awe anapaka asbh na jioni aache hadi ikauke abandue asafishe uso.hii dozi inachukua muda kiasi ila matokeo yake utayakubali mwenyewe.
halafu aache kuzitumbua hizo chunusi. Yaani uso hauhitaji kushikwashikwa labda tu kama unapaka mafuta basi. Halafu anapaka mafuta gani usoni kwa sasa?
 
Tiba ya asili, achanganye unga wa dengu na kiini cha yai awe anapaka asbh na jioni aache hadi ikauke abandue asafishe uso.hii dozi inachukua muda kiasi ila matokeo yake utayakubali mwenyewe.
halafu aache kuzitumbua hizo chunusi. Yaani uso hauhitaji kushikwashikwa labda tu kama unapaka mafuta basi. Halafu anapaka mafuta gani usoni kwa sasa?

Hana mafuta rasimi anayopaka ukizngatia tumekuwa tukipokea shaur tofautofaut kias cha kutokuwa na aina moja ya mafta
 
Habari za jioni wanaJF,

Kwa anayehitaji dawa ya kutoa madoa doa usoni yatokanayo na chunusi na pia dawa ya kuondoa chunusi. Ama mafuta yatakayofanya ngozi yako ing'ae bila ya kujichubua.
Tafadhali piga 0752976792
Ubarikiwe sana.

Zimebarikiwa wandugu...
 
Ndugu wadau:naomba kujua kwa mtu yoyote ananefahamu dawa unayosaidia kuodoa makovu yaliyotokana na ajali kama yanaweza kufutika mwilini. Nawasilisha kwenu kusikiliza mchango wenu:
 
Bio oil ndugu yangu, kachupa saizi ya kati inauzwa 25,000. Yanapatikana Pharmacy ama kwenye maduka ya Vipodozi.

Ndugu naomba na mm niulize je hyo Bio oil hata kovu ulilopata ajali kwa muda mrefu linaweza saidia?
 
Pia unaweza jaribu Aloe vera gel tshs 27,000. Ukihitaji nicheki 0719 252523
 
Jaribu Anti Zainab superclay Udongo asilia kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom