Recent content by Msongoru

  1. Msongoru

    JamiiForums Tanzania Daktari wa familia anatafutwa

    Sawa!
  2. Msongoru

    JamiiForums Tanzania Daktari wa familia anatafutwa

    Wanajukwaa! Salaam; Kuna ndugu yangu yuko Dar anatafuta dakari wa familia. Akiwa wa hospitali za rufaa itakua bora zaidi ili aweze kusaidia habari za vipimo nk. Hana tatizo la kiafya kwa sasa ila anataka daktari wa karibu kwa ajili ya kupima afya mara kwa mara na kumshauri kwa ajili ya afya...
  3. Msongoru

    JamiiForums Tanzania Clinic mpya imefunguliwa inajihusisha na mambo ya upandikizaji(IVF)

    Web haina maelezo ya kujitosheleza kabisaa!! Naomba kujua hiyo 5,000USD is for what? Ina include vipimo na mambo mengine au? Please hebu dadavua!! Kama vipi ni PM
  4. Msongoru

    JamiiForums Tanzania Lowassa ashindwa kwendana na kasi ya Kinana Jimboni kwake

    Watu waliojaliwa hekima utawajua tu! Ahsante sana Mkuu MdugeH.
  5. Msongoru

    JamiiForums Tanzania Kinondoni mabomu yanarindima na helicopter juu inazunguka...

    Hicho chanzo chako hicho!!!
  6. Msongoru

    JamiiForums Tanzania Bbm

    Wee Bandabichi! Sio kila kitu kinaulizzwaga hapa!! Tafuta mtu mwenye Blackberry atakusaidida kirahisi sana. Hata hivyo kuchat itabidi uwe umelipia kutegemea na mtandao unaotumia...
  7. Msongoru

    JamiiForums Tanzania SIASA: Le Mutuz bize kuwalamba miguu kina JK mpaka kieleweke

    Katika siku ambazo nimewahi kucheka ni leo!!! Jamaa nazunguka tuuuu zaidi ya pikipiki za TOYO... Huwa anasemaga "William Experience"
  8. Msongoru

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

    Waungwana tunatoa pole na kumwombea uponaji wa haraka. Hayo mengine ni ya NGOSWE..
  9. Msongoru

    JamiiForums Tanzania Wassira, Bulaya wazozana bungeni!

    Nimempenda Bulaya!!
  10. Msongoru

    JamiiForums Tanzania Leticia Nyerere: Manpower productivity inapotea kwa kutengeneza majungu katika mitandao

    Ni kweli kwa baadhi ya watu! Binafsi nawashangaa wanaotumia muda mwingi ku design picha na maneno mengi yasiyo na tija. Ni vizuri tuutumie mtandao kufanya ya maana kama kupata na kutoa information zenye msaada wa watu... Big up Mheshimiwa!
  11. Msongoru

    JamiiForums Tanzania Cover Price ya "Majeruhi wa Mapenzi" ni 18,000!!! Book store wanataka 40% 'ngombe wa maskini'...

    Nimekatishwa tamaa sana! Kama hali ni hiyo kwa MM sijui kwangu itakuwa je... Hata hivyo ngoja tusubiri revolution ulosema pengine itaturudisha kwenye mstari..
  12. Msongoru

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Segerea)

    Niliambiwa alikuwa makamu mwenyekiti wa TIMU YA UCHAKACHUAJI YA TAIFA..Sasa nimekubali!
  13. Msongoru

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Mhuuuuuuuuuuuuu!!!!! Nimeanza mwanzo mpaka hapa hakuna kitu!!!???? Ngoja nigeukie TV na Redio...
  14. Msongoru

    JamiiForums Tanzania Urgently needed: Field research assistants in babati

    Aliposema "uni pm" alimaanisha umwandikie personal message... Poleni sana.
  15. Msongoru

    JamiiForums Tanzania Dakika 45 ITV: Jobu Ndugai apasua siri jinsi nchi inavyofilisiwa na serikali iliyoko madarakani

    Pamoja na kumlaumu Ndugai, kuna haja y akuyajadili aliyoyasema pia. Jamani hii nchi imefikia mahali ambapo kila mtu anakufa na chake. Ndugai anayoyasema ni kweli wala hayana ubishi. Juzi tu kuna Assistance mmoja alihudhuria kikao kwa niaba ya bosi wake wizarani, alirudi baada ya masaa mawili na...
Back
Top Bottom