Urgently needed: Field research assistants in babati

SUPERUSER

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
960
304
Wanahitajika graduates in any discipline...kazi inahusu kufanya survey na kukusanya data..wawe available full time pia wawe wanaishi babati..ni kazi ya 2-3 weeks...pm me your name and number
 
haya wa babati changamkeni,,,,,kazi naitaka laki mie si mkazi ngoja nipite
 
Ninashi babati kaka,na nina bachelor of commerce and management,kama vipi tuwasiliane kupitia 0714207779 au 0757031876 tuongee zaidi.
 
Wanahitajika graduates in any discipline...kazi inahusu kufanya survey na kukusanya data..wawe available full time pia wawe wanaishi babati..ni kazi ya 2-3 weeks...pm me your name and number

Yasije yakawa ya synovate kushindwa kulipa researchers mpaka watu wakimbie na data,wekeni mambo hadharani hapa mnalipa sh ngapi?
 
Wanahitajika graduates in any discipline...kazi inahusu kufanya survey na kukusanya data..wawe available full time pia wawe wanaishi babati..ni kazi ya 2-3 weeks...pm me your name and number

i'm ready to do it call me 0763050582

Taja malipoi mzee

0768-616744, 0718-170954 niko bbt

Ninashi babati kaka,na nina bachelor of commerce and management,kama vipi tuwasiliane kupitia 0714207779 au 0757031876 tuongee zaidi.

Jamani jitahidini kufuata maelekezo....hapo kwenye Blue amesema Send Private Msg!!
 
Kazi kiasi gani ili tuone kama italipa kuchukua ndege an kuja huko. Isiwe unyonyaji mamboleo. Sema kwanza unlipa shilingi ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom