Bbm

Bbm

Bandabichi

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
230
Reaction score
42
Habari wakuu, nina simu ya Blackberry na BBM pin ni 2601c314 nawezaje kucha na watu wengine wenye simu hizi.
Heshima mbele wakuu
 
Habari wakuu, nina simu ya Blackberry na BBM pin ni 2601c314 nawezaje kucha na watu wengine wenye simu hizi.
Heshima mbele wakuu

hapo kwenye bold unamaanisha nini.? umeanza kutumia lini blackbengaaa
 
Ili kuchat ni lazima u-invite mtu. Fungua BBM yako, bonyeza menu chagua invite contact..then kuna sehemu ya kuandika PIN yake kisha unaituma..aki-confirm itasoma "Rogie is now a contact" from there unaweza kuchat na mtu. Chagua jina lake click OK then anza ku-ping.
 
Sasa si ndo unipe PIN yako au tumia yangu hapo sinimeweka
 
Hahaha! Kweli mjini hakuna mwenyeji! Napita mie, kuna mtu kani-ping!
 
sasa kuchat na midume ya kazi gani...watu tunataka vistobe hapa
 
Wee Bandabichi! Sio kila kitu kinaulizzwaga hapa!! Tafuta mtu mwenye Blackberry atakusaidida kirahisi sana. Hata hivyo kuchat itabidi uwe umelipia kutegemea na mtandao unaotumia...
 
Hongera kwa kutumia bb torch mkuu!!! Bila shaka niko sahihi
 
mi naamini JF ndo mambo yote viongozi kama nimewakwaza nawataka lazi wakuu. Jioni njema
 
Back
Top Bottom