Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Segerea)

Siamini kama haya ndio matokeo ya kesi hii, ila nafikiri Chadema tujipange for 2015 zaidi.
 
2015 huyu makongoro ya kwato atafute jimbo la kugombea. Segerea ina wenyewe, na wenyewe ni sisi. Yupo hapo alipo kwa sababu ya Kikwete. Walichakachua msimamizi wa uchaguzi, sasa wamechakachua mahakama. dhambi hizi hazitapita hivihivi.
 
Kwenye ile Thread iliyofungwa na Mods nilisema maneno haya na watu wakanipinga...narudia tena

Mtu wa jikoni kutoka viunga vya IKULU alinipasha ya kuwa MKUU WA KAYA amemuagiza JAJI JUMA
amtangaze Makongoro Mahanga ndiye mshindi....maana huo uchaguzi ukirudiwa ni lazima CDM itashinda tu.
Na waliangalia haya 3 yafuatayo

1.Chadema watashinda bila ya shaka yeyote na kuzidi kujiongezea mvuto ndani ya jamii na Dar kwa ujumla.
2.CCM watapoteza na kuangukia pua bila ya shaka yoyote na hivyo kuifanya kukosa mvuto machoni mwa jamii.
3.Eti wanadai kurudia uchaguzi huo ni gharama kubwa ya pesa....na pesa nyingi zitatoka serikali ya ccm.

So anaeamini na aamini na asiyeamini apotezee....unless mtu wa jikono naye awe ameniongopea. NA KWELI
IMETOKEA KAMA NILIVYOSEMA KWENYE ILE THREAD iliyofungwa
 
Goli lingine la kubebwa hilo.hata zile box 10 alizokamatwa nazo makongoro za kura jaji hakuliona hilo?haloo kweli hii ndio bongo.
 
Nilijua tu hawawezi kuliachia hilo jimbo,ila dawa yao kamili ipo 2015 pipooooooooooz hatulaili!!!!!!!!!!
 
"""LAZIMA MAHANGA ASHINDE KWA VYOVYOTE ,HATUWEZI KUPOTEZA JIMBO DSM HII ITAKUWA AIBU KUBWA TUNAJUA CHAMA KIMEYUMBA LAKINI CHAMA KITAANZA SAFARI YA KUFA KAMA TUTAPOTEZA JIMBO LINGINE DAR KABLA YA 2015''

ujumbe huo nimefowadiwa sasa hivi na mtu wangu wa karibu ambaye ameupata kutoka kwa MKUU WA KAYA,niko mahakamani dalili za kushindwa ni kubwa kwani Jaji anapangua hoja zetu kama maji bila kutuangalia usoni
Wale wafuasi wa Chadema mtasema Mahakama imewaonea?????
Naendelea kusema huu ndio uhuru wa Mahakama kama chombo huru na muhimili unaojitegemea....!!!
 
Niliambiwa alikuwa makamu mwenyekiti wa TIMU YA UCHAKACHUAJI YA TAIFA..Sasa nimekubali!
 
Back
Top Bottom