Mbunge machachari wa CHADEMA Leticia Nyerere akichangia hoja ya bajeti amedai kuwa wafanyakazi wengi wanashindwa kutoa tija ya kutosha kwa kupoteza muda mwingi katika mitandao wakitengeneza majungu!
Mwana JF tafakari!
Uraia umempa wewe? Na tumsemeje kakako?Kumbe amesharudi toka nchini kwake US!
Ni kweli
Wengi tunajuwa hili,lakini kwa upande mwingine kuna maslahi ya JF.Hapo ndo pagumu.Kama ni wafanyakazi wa serikali,inabidi liangaliwe kwasababu ni utumishi kwa wananchi,na kama ni makampuni binafsi,hilo ni juu yao kujaribu kudhibiti kama linazorotesha productivity ama efficiency.
Siyo wafanyakazi wote wanaoweza kuji control,ndo maana kuna rules and regulations,unless anazungumzia hao wa "kengele msosi tayari" kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu.