Recent content by Mshale wa saa

  1. Mshale wa saa

    Vijana ili uhesabiwe mwanaume ni lazima uoe

    Hainisha apa mkuu. Unafaidi kipi ukiwa ndani ya ndoa ambacho mtu akiwa nje ya ndoa hakipati?
  2. Mshale wa saa

    Jamaa nimemsamehe kwa ukweli wake mchungu. Mke wangu simuelewi

    Daaah! Aisee wanawake Mungu ana waona aisee
  3. Mshale wa saa

    Ona jinsi Israel ilivyoichafua na kuibana mbavu Palestina

    Uonevu nje nje aisee.. sisi yetu macho lakini
  4. Mshale wa saa

    Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

    Swala la kusahau linahitaji muda mzee wangu. Kwaiyo unaweza samehe kisha ukasahau pole pole. Kingine mkuu mimi ni shabiki yako sana kwenye machapisho yako mengi sana humu jukwaani lakini kwa hili nitakupinga mpaka siku naliona kaburi. Na sababu ni moja tu mkuu hiyo nadharia yako kama kila mtu...
  5. Mshale wa saa

    Maisha ya ndoa anayo pitia ndugu yangu ni mateso, je amelogwa?

    Mpe Pole sana sana huyo ndugu yako aisee! Ila asijari mwambie abadili mfumo tu wa maisha aliyokua anaishi bila uyo mwanamke yan back a dys 2016 sasa maisha yale ayabadili tena yawe ya chini zaidi iyo 140,000 ni pesa ndefu ukii bajeti vizuri.
  6. Mshale wa saa

    Kuitwa Kituo cha Polisi

    People's are stranger
  7. Mshale wa saa

    Faida za kulala uchi wa mnyama

    Pia kulala bila nguo kunasaidia au kuongeza self-confidence. Uwezo mkubwa sana wa kujiamini
  8. Mshale wa saa

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nina mtaji wa shilingi 20k nifanye biashara gani Msaada tafadhalini
  9. Mshale wa saa

    Ushawahi kuwa na msichana mwenye sehemu za siri fupi?

    Hahahah dunia inakwenda kasi sana
  10. Mshale wa saa

    Kama mnajua hamna chaji, ya nini kututia shombo?

    Mimi menyewe niko hivo mkuu ulitumia mbinu gani kuondokana na hiyo kadhia aisee na mimi nitoke though inanitesa sana. uli
  11. Mshale wa saa

    Hiyo Tarehe 29 Hali itakavyokua huko staff

    😅😅😅😅😅
  12. Mshale wa saa

    Msaada jinsi ya kufanya laini isipokee SMS wala call mke anasumbua

    Block iyo number ya uyo manzi uliyemcheki apo utakua umeua tayari mkuu. Kila lakheri
  13. Mshale wa saa

    Mtu mweusi aokoa maisha ya mzungu

    Sasa afadhari hii story ikuwe trending labda wenzetu wenye ubaguzi watajifunza kitu.
Back
Top Bottom