Msaada jinsi ya kufanya laini isipokee SMS wala call mke anasumbua

Ndio shida ya kuoa na udogo.. na hiyo ndio gharama ya usaliti! Unakosa amani.. ukikaa simu unaweka silent au flight mode ..! Shida yote ya nini chalii yangu? Ukute mtoto wa watu katulia anakuheshimu kama mume lakini wewe unajifanya kibolodinda ...! Shauri yako!
 
Hakuna ndoa isiyo na changamoto..lakini huu hapa ni utoto .sio kwa mume Wala mke!yaan unachukuaje line ya mwenzako?..ujinga mno!
Kweli wanaume tunatoweka kwa kasi hasa hapa Tanganika...[emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo mkewe angekuwa kwa kwangu, nadhani hili kosa tu lilitosha kumpa likizo ya muda usio julikana hadi wazazi watakapo tuita na ndipo niseme kosa lake wallah.

Kijana ametutia aibu kubwa
 
Wewe fika nyumbani usioneshe kuhofu kitu..then mwite umwambie hujafurahishwa na kitu alichofanya ... mkazie uso mwambie akuheshimu.. yaani kuwa kauzu .. jicho litoe kama la Kabudi vile
IMG-20200514-WA0000.jpg
 
Ndio shida ya kuoa na udogo.. na hiyo ndio gharama ya usaliti! Unakosa amani..ukikaa simu unaweka silent au flight mode..! Shida yote ya nini chalii yangu? Ukute mtoto wa watu katulia anakuheshimu kama mume lakini wewe unajifanya kibolodinda...! Shauri yako!
Samahani mkuu....
Kwani unadhani mke amefanya kitendo sahihi??
 
Kweli wanaume tunatoweka kwa kasi hasa hapa Tanganika...[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mkewe angekuwa kwa kwangu, nadhani hili kosa tu lilitosha kumpa likizo ya muda usio julikana hadi wazazi watakapo tuita na ndipo niseme kosa lake wallah.
Kijana ametutia aibu kubwa

Hahahaha...na we umezidi ukauzu best...mie sipend mwanaume wankunitisha tisha kama weww aisee..niambie nitaelewa! Ukinitisha unaharibu!
 
Jana nimechelewa job kulikua na overtime kazini tumerudi sa 3 usiku Asa wife alijua nipo kwa mchepuko wakati sms nilimtumia kua nitachelewaa. Leo asubuhi natoka kwenda job nataka nitume SMS naona SMS haiendi nikastuka kucheki usajili laini ya wife yangu haipo nikarudi, kumuuliza anasema anayo yeye kama salio ataniwekea badae nitumie hii.

Ikabidi nikubali tu maana mda ulikua umeisha wa kazini, nikanunua vocha fasta njiani, nikamtafuta Manzi 1 hivi, kupitia hii laini, saa mbili asubuhi wife anatuma SMS kua ataniunga bando badae, sasa hivi anasema nitakuta salio nyumbani, dah, sasa wasiwasi wangu hii laini asije itumia huyu Manzi akazua utata naomba msaa nizuie call na sms ili asije zua utata. Hapa chini kuna ushahidi.

Mchuiue wife nenda kashinde naye job huko kwako, mpaka saa tatu au nne usiku, akikuuliza mbona hatuendi home mwambie bado namaliza kazi subiri.
Nakuambia hivi mkitoka hatarudia tena, kama mna watoto wafanyie namna.
 
Jana nimechelewa job kulikua na overtime kazini tumerudi sa 3 usiku Asa wife alijua nipo kwa mchepuko wakati sms nilimtumia kua nitachelewaa. Leo asubuhi natoka kwenda job nataka nitume SMS naona SMS haiendi nikastuka kucheki usajili laini ya wife yangu haipo nikarudi, kumuuliza anasema anayo yeye kama salio ataniwekea badae nitumie hii.

Ikabidi nikubali tu maana mda ulikua umeisha wa kazini, nikanunua vocha fasta njiani, nikamtafuta Manzi 1 hivi, kupitia hii laini, saa mbili asubuhi wife anatuma SMS kua ataniunga bando badae, sasa hivi anasema nitakuta salio nyumbani, dah, sasa wasiwasi wangu hii laini asije itumia huyu Manzi akazua utata naomba msaa nizuie call na sms ili asije zua utata. Hapa chini kuna ushahidi.

Mungu hasinifikishee hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh inkuaje mkuu line yako anachukua wife wanaume tunazidi kupungua kwa kweli
 
Back
Top Bottom