Faida za kulala uchi wa mnyama

Faida za kulala uchi wa mnyama

Dah sasa hapa kuna kitu nimekipata mkuu, kuna watu wanasafa sana na misukosuko kwenye mausiano pasipo kufahamu tatizo ni nini kumbe itakuwa hicho ukisemacho basi kipo mkuu kweli kuna mda ndoa inakuwa na mifarakano ya hapa na pale kumbe iyo mijini ishafanya yao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kaka unaweza hisi ni mambo ya kusadikika ila ni mambo live!
 
Mkuu upo sawa,, yaan huu uzi umenigusa mimi mzee wa naked yaani nimeusoma nimelaaa na nipo uchi wa mnyama.
Kila asibuhi nikiamka huwa najikuta ni mtu mwenye furaha na kujiamini sababu ya kulala uchi.

Wakuu anzeni kulala uchi mpate faida hizi .
🤣🤣🤣my ribs mkuu unaikazia kabisaa.
 
Yani live nakwambia, mie nilianza poteza ufanisi baada ya kuanza lala uchi saingine unataka kupiga mambo hamu ipo ila mashine inanywea ukishika tako tu la mama uanze mipapaso kutafta unyevu kitu inalala ghafla.

Saingine bibie hataki kabisa yani unakuwa ugomvi mkubwa sana. Hamu inakata mood inakata unaamua kumpa mgongo pakuche usepe zako na mishe. Saingine anakubali ila anaumia tu ila still unafeel yuko wet. Ushawahi ambiwa na mkeo mdomo unanuka ikiwa unatumia sensodyne? Usiombe hio hali.
Hiyo hatari sana kiongozi
 
Ma story ya town eeh, unless otherwise utokee jamii za waswahili au vijijini utakuwa protected na hayo mavitu toka ukiwa mdogo!

Sie tuliozaliwa mitaa ya Salender ambao hatukufungwa hata vitambaa vyeusi mkononi sishauri mtu kuji expose namna hio usiku.
Mkuu samahani ina maana huyu muombeaje alikuambia sababu ya chemistry kuharibika ni kulala uchi?
 
Mkuu upo sawa,, yaan huu uzi umenigusa mimi mzee wa naked yaani nimeusoma nimelaaa na nipo uchi wa mnyama.
Kila asibuhi nikiamka huwa najikuta ni mtu mwenye furaha na kujiamini sababu ya kulala uchi.

Wakuu anzeni kulala uchi mpate faida hizi .
😂😂😂 Mkuu lala uchi mwenyewe..!
 
Back
Top Bottom