Kama mnajua hamna chaji, ya nini kututia shombo?

unajua siku hizi mambo ni mengi ndo maana tunafika huko..haieleweki akina kaka tunakwama wapi haijulikani
 
kama umemkuta na mapungufu hayo kwann usingemwambia una leta uzii huu tukushauri nn hasa ndo mapungufu yake hayo
 
Wengine hawavutiwi na wanawake wenye rangi nyingi kama upinde wa mvua,,,msitulaumu wanaume kwa udhaifu,,sometimes makosa yapo kwenu wanawake..kama huna cha kumvutia kwann battery isiishe charge?
 
Bichwa boga mtafute mtu naaitwa O iq hutojutia six p"hao wanaenda gym kutengeneza hiyo six chini kuna lala!!!
 
SOO STUPID.. NMEJARIBU KUANGALIA NYUZI ZAKO ITS OBVIOUS UNAJITANGAZA KWENYE SEKTA YA UZINZI NA UMALAYA. NYUZI ZAKO MBILI ZOTE NI UONGO TU...

LENGO LAKO LA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HALITATIMIA.

NA HILI TANGAZO NAOMBA LILIPIWE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom