Recent content by mr sun

  1. M

    Amri nane (8) kwa wapenda ofa

    Hahahaha kautumwa flan hivi....
  2. M

    Mwanaume unawezaje kujiua kwa ajili ya wivu wa mapenzi?

    Kujiua ni hatua ya mwisho ya maamuzi ambayo tunasemaga bado hayatoi solution ya tatizo .. Lakini naamin kuna vtu kadhaa vnaweza kupelekea mtu kufanya maamuz kama hayo ikiwamo imani ya kumuamin mke/mpenz wako 100% hawez kukusaliti kama vile malaika sasa ikitokea kinyume chake ndo unajikuta...
  3. M

    Nahitaji kumuoa ila nime disco chuo

    Kwa nilivyoelewa mimi issue hapo ni kudisco ukizngatia makubaliano yao ya kuoana yaliandamana na kumaliza kwao chuo bahat mbaya bro hali si nzur kimatokeo sasa hapa mtihan ni jins ya kumwambia ukwel mpnz wake na atalichukuliaje swala la kudisco kwa mshikaj ... Ushaur wangu hebu jarib ku create...
  4. M

    Kwanini asilimia kubwa yanakuwaga ni majike?

    Uwe unahusisha ubongo bhas kabla hujapost upuuz wako ....
  5. M

    Mitazamo ya kike na kiume

    Hyo selective yako ni balaa na kumpata huyo mtu nako ni kaz na ukibahatika kumatch na mtu type hyo probably atakuwa hana mapenz ya dhat na ww ukawa huna furaha ktk mahusiano ..ila kuwa na mwanamke anaejitambua ni advantage kubwa kwan mtashea mambo meng ya maendeleo kuliko yeye akawa ni dependant...
  6. M

    Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

    Pamoja na kila mmoja kuwa na mfuas wake anaemjua mwenyewe na waliojionesha wazwaz wao ni team nan mfn kingunge lakini nape hana hekima ya mazungumzo kama walivyowasemaj wa klabu flan hapa nchin .. Anashindwa kuchuja kauli zake anapozungumza mbele ya public anahis kama ni chake pekeyake na ana...
  7. M

    Nimedanganya jinsia yangu

    Yan mpk anafikia maamuz kukutumia nauli ni kwamba alilidhika na response yako ya kujifanya demu nawe pia ulilidhia kuact kama demu kwa maana wkt mna chat ulibehave km msichana na hisia ukazweka km msichana bmaana hata sex chat itakuwa mshafanya as mwanamke ...huo ni uzembe wa kiwango cha juu...
  8. M

    Kumbe hata kwenye boxing watu wanapaki bus!

    Techniq Zinaruhusiwa kila mchezo Cha maana ni ushindi tu
  9. M

    msaada jaman wataalam wa i.t ukiwemo chief mkwawa

    Huo ni ugonjwa.. Kuna sim hazipandishi 3g.unapeleka kwa mafundi wa simu-soft wanapandisha. Ni sim nyingi zinakujaga hivyoo Kwo usipate shidA
  10. M

    X boyfriend wangu ndio best friend wangu

    Tegemea matokeo mabaya juu ya hilo
  11. M

    Bwana harusi mdogo kuliko wote duniani....

    Mhh huku dunia inapoelekea ......kwel "maisha ni utata"
  12. M

    Nimemfumania mpenzi wangu naomba ushauri

    Hapo hata huo ujauzito ni mashaka matupu hamna chako ....ukiona manyoya ujue kaliwa
  13. M

    Ndoa hizi zisikieni tu

    Tatizo binadamu wengi tunapenda kufanya trial ktk ndoa ..we mtu unamjua tokea mko wapenz wakawaida tabia zake lkn unakuwa tyr akuoe ukiamin atabadilika kwenye ndoa ...we ukishaona dalili tu kwenye mapenz sio nzr hakuna haja hata ya kuruhusu mimba ili isje kuwa sbb ya wewe kuingia msitun hali ya...
Back
Top Bottom