Nimedanganya jinsia yangu

Nimedanganya jinsia yangu

Unatongozwa, umekubali kuwa demu wa jamaa, umehongwa!!!
Wewe nenda tu ukaliwe!!
 
Habari wana jamiiforum.Mimi nikijana wa kiume mwenye umri wa miaka kati ya 20-25 hivi.Siku moja nilisitukia nimeingiza kwenye group moja la whatsapp(jina kapuni) pasipo mimi kuwa na taarifa yoyote ile,sasa kule kuingizwa nikawa napimishia tu chating zako nikawa nimetuma sms ya HODI wadau wakaitia karibu.Kuna mdau moja akawa ametuma sms ya mgeni tunaomba picha yako nikatuma picha ya demu fulani hivi mzuri sana wadau wakaanza ooh mgeni we mzuri sana mara ooh mgeni upo wapi mara ooh mgeni nimekupenda nikasitukia mdau moja kanifata inbox nikawa nachati nae na ikumbukwe kuwa hapo nimeficha,nimeongopea jinsia yangu so jamaa akawa anajua kuwa anachati na demu kwa sababu ya ile picha niliyotuma kwenye group.Nilichati nae vizuri kwa kujifananisha kuwa mimi demu mpaka jamaa akafikia hatua ya kuvunja ukimya juu ya ile picha nikawa nimemkubalia jamaa.Sasa jamaa amenituma nauli nimfate aliko maana yupo mkoa tafauti na nilipo mimi na nauli yake si chini ya elfu 80000 na jamaa kanitumia laki moja(100000)na hali niliyonayo Mimi huku si nzuri kwa kweli kiuchumi.Sasa napenda mnishauri kuwa jamaa nimwambie ukweli kuhusu jinsi yangu??au niitumie tu hii hela kwa mambo yangu binafsi???au nimurudishie tu hii hela????.Wapendwa ushauri wenu tafadhali.
Acha uchoko. Hizo tabia za kichoko.
 
Yan mpk anafikia maamuz kukutumia nauli ni kwamba alilidhika na response yako ya kujifanya demu nawe pia ulilidhia kuact kama demu kwa maana wkt mna chat ulibehave km msichana na hisia ukazweka km msichana bmaana hata sex chat itakuwa mshafanya as mwanamke ...huo ni uzembe wa kiwango cha juu ulioufanya chamsingi rudisha hela ya watu ukiitumia ni kwamba umekubal kuilipa kwa njia ya haja kubwa
 
Yani ww ukibanwa kwenye kakona kidogo tu unaliwa. Vijana fanyeni kazi jamani.
 
hahahahahahha

Yakhereeeeeeeee

Vya watu haviliwi

Ukikubali kula sharti na wewe uliweeeee....hahahahah
 
Back
Top Bottom