Ndoa hizi zisikieni tu

Ndoa hizi zisikieni tu

Pole;
Usiniige mimi;
Wengine mkiondoka mnakimbilia kuolewa na ndipo maisha
yatakapokubadilikia zaidi; ni vizuri tu uvumilie.

Kila maisha ya ndoa yana uchungu wake tena haufanani ndugu yangu. Mengine hayavumiliki? Kama wewe ulivyoamua kuondoka na kuacha kila kiltu.
 
pole na ndoa yako vumilia na hao wazazi wenzie tu. Ingawa tulikwambia ukaona tunakuonea wivu
 
Tatizo binadamu wengi tunapenda kufanya trial ktk ndoa ..we mtu unamjua tokea mko wapenz wakawaida tabia zake lkn unakuwa tyr akuoe ukiamin atabadilika kwenye ndoa ...we ukishaona dalili tu kwenye mapenz sio nzr hakuna haja hata ya kuruhusu mimba ili isje kuwa sbb ya wewe kuingia msitun hali ya kuwa hata ngedere unsogopa huyo chui je
 
Eheee sasa na Dr wa muhimbili naye tajiri? jamani kubadili mboga na kukaa cottas za ma Dr nao ni utajiri wa kumnyanyasa mtu?
Tofautisha utajiri na professions!

unajua lakini kimtaani taani maneno yetu we ndo unajua hivyo kwamba s tajir but uswaz watu wakiskia dk akili zinaruka mi nakwambi
a
 
Binamu yako aliolewa akiyajua yote hayo...mnajipaga moyo atabadilika.

Mwambie aanze kujipanga kuishi mwnyw hapo ndoa hamna.

Well said Nokia83 Kubadilisha tabia ya jitu lenyemeno 32 mchezo!
 
duh sio nzuri kabisa anachofanya huyo mume ni kosa na litamgharimu
 
Well said Nokia83 Kubadilisha tabia ya jitu lenyemeno 32 mchezo!

Haiwezekani kbs.

Sometimes nawaelewa wadada wanao move in wit their bf b4 marriage cz inawasaidia kujua vitu vingi.
 
Hata Mimi napenda mume mwenye title! Goigoi akae mbali na Mimi!
Issue hapa si title ni tabia binafsi ya mtu! kuna uzi mkulima mmoja huko kilombero alimpiga na kumtoboa mke wake jicho kisa amedai talaka baada ya mume kutaka kuoa mke mwingine!
Sasa huyo naye ana title gani?
Na kuna wanaume wana titles zao matajiri wa akili na mali na wanawapenda wake zao na kuwaheshimu!
Mfano my uncle ni well off tena ni advocate mkubwa tu lakini anampenda sana mke wake ambaye ni mama wa nyumbani tena kaishia form 2!
Mume/mke mwema atoka kwa Mungu

binadamu tumetofautiana sana mwingine anajua hili chaka bovu ila analivaa vivyo hivyo ye alitaka ndoa avumilie tu ndoa ni commitment jamani good enough alijua km kuna mmke kazaa nae bado kakubali hakujiuliza kwa nn hakuolewa tuacheni tamaa km ulivyosema mwenza mwema hutoka kwa mungu km mnafata profession msilalamike sasa
 
binadamu tumetofautiana sana mwingine anajua hili chaka bovu ila analivaa vivyo hivyo ye alitaka ndoa avumilie tu ndoa ni commitment jamani good enough alijua km kuna mmke kazaa nae bado kakubali hakujiuliza kwa nn hakuolewa tuacheni tamaa km ulivyosema mwenza mwema hutoka kwa mungu km mnafata profession msilalamike sasa

Mamiii don't be so judgmental ...... kujua hili chaka nacho ni kipaji! mapenzi yanapofusha haswa ya mwanzoni! Experience nayo ina matter!
Hujawahi umwa na nyoka au kuona jirani kaumwa na nyoka huwezi jua hatari ya kukatiza kwenye vichaka bila tahadhari!
Kiatu kinamuumiza mvaaji ingawaje walio pembeni yake wanaona kimempendeza!
Same to Mrs Dr. am sure mama yake anamwambia vumilia umenitoa kimasomaso binti yangu umeolewa!
Hata wapo rafiki wanamuonea wivu au wanamu admire kwa nje!
 
Hao walioana bila kufuata taratibu za kuoana kama vile kutongozana, uchumba, na ndoa. Katika hatua ya uchumba, wachumba huchunguzana na kufahamiana vizuri tabia zao. Baada ya hapo ndipo uamzi wa dhati hutolewa na ndoa hufungwa. Bora uchumba uvunjike kuliko kuvunjika ndoa tena yenye watoto! Mwanamke huyo alikurupuka kuolewa na daktari huyo. Hakuolewa bali alinunuliwa kama shati na matokeo yake ndio hayo.
 
Pole yake......ila yakimshinda akaanze tu maisha upya badala ya kujichimbia kaburi......
 
Jaman tusimlaumu dr tuu bila kujua upande wa pili upoje...

Unaweza kuta bidada naye kachangia kumbadilisha dr, wanawake wanadharau ya hali yajuu sanaa baada ya kufunga ndoa anaona yeye ndo kafika...ile heshima na utii wa uchumba unapotea...

Jambo la msingi ni yeye kukaa chini na mmewe na kuongea naye kwa upendo na upole, amweleze tatizo lipo wapi...!?

Miaka ya mwanzoni ya ndoa ni migumu sanaa maana ndo mda mnao juana tabia ya kila mmoja kwa undani na uwazi so hapo ndo mda wa kuvumiliana na kuelimishana....

Ndoa nyingi huvunjika kuanzia mwaka mmoja mpaka mitano nyingine mpaka kumi.....
 
Back
Top Bottom