Nimemfumania mpenzi wangu naomba ushauri

Ngumu ku-comment maana ana ujauzito wa miezi 2 halafu unadai ni wa kwako, sijui uhakika unaupata wapi wa hili ikiwa nesi mwenyewe alianza kukusaliti kitambo hadi unamfumania....,! Kumbuka za mwizi ni ngapi?? Usidhani kaanza leo huyo. Siajabu huyo uliyemkuta naye ndiye mchumba kwako huwa anasema ni kwa wazazi
 
duh........aisee pole kababaa1

kwakweli ushauri wangu unaweza kuwa mbaya kwahiyo ngoja nikae kimya tu
 
Last edited by a moderator:
mmmh mpe kibuti hata hiyo mimba siyo yako si unaona jamaa anaenda weka maskio
 
Mitandao imewashikia watu akili sijui anataka ushauri wa nini kama mkewe ana mimba basi jamaa alikuwa anaongezea miguu na vidole

Tehehehehe, watu mnamajibu humu kuliko hata ya "naibu spika"
 
Mpenzi wangu ni nesi, aliniaga anakwenda semina ya kikazi, tangu juzi jana nikapigiwa simu na jamaa kuwa mpenzi wangu kaonekana nyumba flani ambapo wanaishi watu mbalimbali, na jamaa alinijuza kuwa alikua akinisaliti.

Nilimuliza mpenzi wangu akakataa katu na kuapa kwa mungu na kunikaripia vikali kwa kusikiliza maneno ya watu. nilidhani ni ukweli jinsi alivyokuwa serious kujitetea na kulia kwa uchungu.

Leo jamaa kaniita kanambia njoo shuhudia mwenyewe, nimeenda nikakaa nyumbani kwa jamaa huku nikisikilizia sauti zilizokuwa zinatoka chumba jirani kwa kuwa nyumba haina sing body.

Gafla mlango wa kile chumba ulifunguliwa na wakatoka nje kuelekea msalani, na mimi nikatoka nikasimama mlangoni waliporudi alistuka na sikufanya lolote.

Nimekuja mbio hadi nyumbani natetemeka mwili mzima sijui cha kufanya. Jamaa aliye nae simfahamu ila nimeona namweza kabisa. Mpenzi wangu ana ujauzito wa mieiz 2 wa kwangu.

NISHAURINI TAFADHALI
YESU ni Bwana na Mwokozi wa Ulimwengu. Kila amwaminiye hatapotea bali atakuwa na uzima tele. Nakushauri umwamini YESU umpe nafasi ndani ya Moyo wako naye atayabadilisha maisha yako. Zaidi ya yote atakupa mke Mwema
 
Hapo hata huo ujauzito ni mashaka matupu hamna chako ....ukiona manyoya ujue kaliwa
 
Mpenzi wangu ni nesi, aliniaga anakwenda semina ya kikazi, tangu juzi jana nikapigiwa simu na jamaa kuwa mpenzi wangu kaonekana nyumba flani ambapo wanaishi watu mbalimbali, na jamaa alinijuza kuwa alikua akinisaliti.

Nilimuliza mpenzi wangu akakataa katu na kuapa kwa mungu na kunikaripia vikali kwa kusikiliza maneno ya watu. nilidhani ni ukweli jinsi alivyokuwa serious kujitetea na kulia kwa uchungu.

Leo jamaa kaniita kanambia njoo shuhudia mwenyewe, nimeenda nikakaa nyumbani kwa jamaa huku nikisikilizia sauti zilizokuwa zinatoka chumba jirani kwa kuwa nyumba haina sing body.

Gafla mlango wa kile chumba ulifunguliwa na wakatoka nje kuelekea msalani, na mimi nikatoka nikasimama mlangoni waliporudi alistuka na sikufanya lolote.

Nimekuja mbio hadi nyumbani natetemeka mwili mzima sijui cha kufanya. Jamaa aliye nae simfahamu ila nimeona namweza kabisa. Mpenzi wangu ana ujauzito wa mieiz 2 wa kwangu.

NISHAURINI TAFADHALI

achana naye huyo malaya asikuzingue!
 
Mkeo au mnafanya zinaa tu?

Kama ni mkeo mpe talaka.

Kama mnafanya zinaa tu, jiulize wewe ulimpataje wenzako washindwe.

Halafu kapime ukimwi.

hahahaha! bi kiroboto usitake ncheke!
 
Hata hiyo mimba pendine siyo yako, turiza akili, usichukua uamuzi wa haraka, utapata solution nzuri .
 
Kwa ANALISISI yangu...nimeona yafuatayo;
Kwanza kabisa huyo mwanamke huo mchezo na jamaa wameuanza zamani....Na wewe jamaa sio GENTROMENI ndio mana huyo mwana mke karudi palepale ambapo wewe ulishashtukia......Na kwazaidi ya asilimia 90 hiyo mimba sio yako ni ya huyo jamaa...ndiomana huyo mwanamke ana kiburi na huyo jamaa.....HARUFU acha uboya yani upo jumba jirani mwanamke wako anagongwa wewe unasikilizia.......HAPO HAUNA MWANAMKE NA MIMBA SIO YAKO...
 
Mpenzi wangu ni nesi, aliniaga anakwenda semina ya kikazi, tangu juzi jana nikapigiwa simu na jamaa kuwa mpenzi wangu kaonekana nyumba flani ambapo wanaishi watu mbalimbali, na jamaa alinijuza kuwa alikua akinisaliti.

Nilimuliza mpenzi wangu akakataa katu na kuapa kwa mungu na kunikaripia vikali kwa kusikiliza maneno ya watu. nilidhani ni ukweli jinsi alivyokuwa serious kujitetea na kulia kwa uchungu.

Leo jamaa kaniita kanambia njoo shuhudia mwenyewe, nimeenda nikakaa nyumbani kwa jamaa huku nikisikilizia sauti zilizokuwa zinatoka chumba jirani kwa kuwa nyumba haina sing body.

Gafla mlango wa kile chumba ulifunguliwa na wakatoka nje kuelekea msalani, na mimi nikatoka nikasimama mlangoni waliporudi alistuka na sikufanya lolote.

Nimekuja mbio hadi nyumbani natetemeka mwili mzima sijui cha kufanya. Jamaa aliye nae simfahamu ila nimeona namweza kabisa. Mpenzi wangu ana ujauzito wa mieiz 2 wa kwangu.

NISHAURINI TAFADHALI

kuhusu kufumania naamini limeisha,hadi unakuja kuomba ushauri hapa basi ushapoa wewe...sasa habari ngumu ni hiyo ya mimba mkuu.
 
Back
Top Bottom