Kuna mtu aliniambia ukitaka ufaidi samaki chagua majike ndio watamu.Sasa hapo kwenye kutofautisha jike na dume ndio shughuli pevu.
Wenyewe wataalam wanajua.
Ila kiuhalisia ata iwe kuku,jike ni tamu zaidi.
Uwe unahusisha ubongo bhas kabla hujapost upuuz wako ....