Kumbe hata kwenye boxing watu wanapaki bus!

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,556
Nimeshangaa kuona huyu ndugu yetu ktk pambano la mei2 amepigana kwa kujihami na muda wote alikua ana kimbia kimbia tu na kuegemea kamba!lakini mwishoni eti kashinda yeye!yaani kama ile mechi ya chelsea alivyomfunga barcelona...Hivi Kukimbilia na kuegemea kamba hakupunguzi pointi kwa muhusika?
 
wonders shall never end!!!
 
Kama boxing ndio iko vile hata mimi Manny Pacqiao hanipigi.
 
Nimeshangaa kuona huyu ndugu yetu ktk pambano la mei2 amepigana kwa kujihami na muda wote alikua ana kimbia kimbia tu na kuegemea kamba!lakini mwishoni eti kashinda yeye!
ata mimi nilishangaa sana jamaa kapaki bus than kashinda?
Kama boxing ndio iko vile hata mimi Manny Pacqiao hanipigi.
Ndio matatizo ya kuangalia mechi moja kwa mwaka, maana kila mmoja wenu anasema 'anashangaa'! Sisi tunaojua how to earn the point in boxing hatuwezi kushangaa kamwe. Endeleeni kushangaa, ila muwe mnaangalia basi walau mara tano kwa mwaka, mtajifunza mengi na mtajua ufundi wa ngumi ni upi!
 
Nimeshangaa kuona huyu ndugu yetu ktk pambano la mei2 amepigana kwa kujihami na muda wote alikua ana kimbia kimbia tu na kuegemea kamba!lakini mwishoni eti kashinda yeye!yaani kama ile mechi ya chelsea alivyomfunga barcelona...Hivi Kukimbilia na kuegemea kamba hakupunguzi pointi kwa muhusika?

Hivi vitoto vya siku hizi ni balaa tupu!
Vimezoea kucheza pool, Eti hivi sasa vimehamia kwenye masumbwi! Nenda kaangalie pambano la George Foreman Vs Mohammed Ali (Rumble in the Jungle ), kisha ufanye tathmini ya pambano la juzi Kati ya Mayweather na Pacman. Pole.
 
Jamani kuna tofauti kubwa sana kati ya kupiga ngumi na kurusha ngumi (PAC man anarusha ngumi tu wajameni)...... Nilichokigundua humu wengi sana hawaujui vzr mchezo huu wa boxing ndio maana wanatoa povu tu, muwe mnauliza
 
Ingekuwa Pac man hana maumivu ya bega,huyo Mmarekani angeumia sana.
 
Kwani hana madaktari, ilikuwaje wamruhusu apigane akiwa ana maumivu.... Tatizo letu binadamu huwa hatupendi kumuona mtu akiwa na mafanikio kwa muda mrefu lazima tutaanza kumchukia tu
 
Nimeshangaa kuona huyu ndugu yetu ktk pambano la mei2 amepigana kwa kujihami na muda wote alikua ana kimbia kimbia tu na kuegemea kamba!lakini mwishoni eti kashinda yeye!yaani kama ile mechi ya chelsea alivyomfunga barcelona...Hivi Kukimbilia na kuegemea kamba hakupunguzi pointi kwa muhusika?

Inaonyesha hujui point zinapatikanaje
 
Kwani hana madaktari, ilikuwaje wamruhusu apigane akiwa ana maumivu.... Tatizo letu binadamu huwa hatupendi kumuona mtu akiwa na mafanikio kwa muda mrefu lazima tutaanza kumchukia tu
Tafuta uzi wangu wa jana utaona na jamaa wa Nevada wamemuandama wanataka wamuwekee sanction yao kwa udanganyifu wa afya yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom