Recent content by moxec

  1. moxec

    JamiiForums Tanzania Any one can give me a different btn Instrumentation Engineering & Electrical Engineering

    For now naona instrumentation engineering ni control system engineering ambayo Ina deal na control instruments/devices in power system nazani kwa personnel ambaye ana strong background ya electrical engineering field na work experience tutakuwa na mawazo sawa
  2. moxec

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa chuo kinachofundisha ufundi TV, Redio, Simu nk (Electronics) Mwanza

    Naenda DIT au UDSM (CoIST) wanatoa short courses.
  3. moxec

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kupata kazi Botswana

    VP kaka work permit kwa skilled workers (doctors & engineers) wanatoa hivi Sasa au ni kipengele
  4. moxec

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Baharia wa meli, Idara za meli na nafasi za mabaharia katika meli

    Mm Nina bro wangu naye ni baharia kanikomalia sana niingie kwenye fani, na mwaka huu nimezamilia, Nina diploma & degree zote electrical and Electronic Engineering, ila kaniambia nikiingia kusoma baada ya mandatory courses nisome rating forming part of engineering watch, na nisisome electro...
  5. moxec

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Baharia wa meli, Idara za meli na nafasi za mabaharia katika meli

    Kaka mm nilikula check number hivyo sikwenda dmi Bado, ila naona Bado mambo ni 00 itabidi likizo niingie dmi Sina namna nikapige mandatory courses
  6. moxec

    JamiiForums Tanzania Everyone has a dream; mine is becoming a ship captain or seafere

    Mkuu naomba kuuliza hiyo seatime ya miezi SITA baada ya mandatory course Kwa hapa bongo wanatoa chochote au ni free kama upo field
  7. moxec

    JamiiForums Tanzania kusoma Electrical Engineering kutumia diploma ya computer science kama qualification

    Nenda Must, dit au St Joseph hayo ya ugumu was kozi utajua hukohuko na Ninaimani utapambana tu
  8. moxec

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Ubaharia

    Thanks bro!
  9. moxec

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma umeme VETA anaweza kuajiriwa ndani ya meli?

    Je Bro, kwa mtu mwenye degree ya electrical engineering akisoma mandatory course anaweza kupata kazi Dubai?
  10. moxec

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu majukumu ya fitter kwenye meli

    Hivi mandatory course kwasasa pale dmi ni shilingi ngapi?
  11. moxec

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Ubaharia

    Jamani ninaomba kuuliza hivi kwa Sasa mandatory course ni shilingi ngapi pale dmi
  12. moxec

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana kuhusu kazi

    Ni kweli bro! Tumelala Sana.
  13. moxec

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatujachelewa; tuwekeze kwenye Cryptocurrencies!

    Namm nataka ninunue Shiba Inu ila sijui nijiunge na wallet ipi na jinsi ya kuweka pesa ili ninunue hizo coin msaada tafadhali
  14. moxec

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatujachelewa; tuwekeze kwenye Cryptocurrencies!

    Ok ila Mimi nipo eagle mining na wameshatoa wallet inaitwa crypto Kara wallet
Back
Top Bottom