Sijui KWA nn mabaharia wanapenda kuingiliwa kinyume na ....Naomba mwenye kujua connection za kupata kazi ya ubaharia nje ya nchi anisaidie. Nina diploma ya Marine Operation upande wa Engine Mechanic
Ishanasuliwa Mkuu tag nane zilikua kaziniKajaribu bahati yako kwa kuinasua meli ya mizigo iliyonasa huko mfereji was Suez mkuu 🤔
Kumbe niko nje ya Dunia, ngoja nikapate update kidogo 😎Ishanasuliwa Mkuu tag nane zilikua kazini
Sijui KWA nn mabaharia wanapenda kuingiliwa kinyume na ....
Nakushukuru sana mkuu kwa haya maelekezo ambayo kwa sehemu kubwa yanatoa mwanga. Mungu akubariki sana.Siku hizi makampuni mengi unaomba kazi online cheki na makampuni ya meli za mafuta ambazo base yake ni Dubai na hizo Nchi za kiarabu ni rahisi kupata kupitia huko sina namba za vijana ila wapo Watanzania kadhaa huko sisi miaka yetu ilikua tunashuka Cape town hapo unaonyesha vyeti vyako unasaini kazi sasa hivi wameweka vipengele vya kibali cha kazi lazima upate kabla ujaenda kuomba kazi SA imekua tatizo kidogo ila ukiweza kupata kibali hapo ubalozi wa masaki kazi unapata Cape na pia hawa debeers Maline waombe online wewe tupia CV zako kwenye hayo makampuni ya meli yana maagent sipo huko kwa mambo ya meli kitambo ila walio huko watanikumbusha na uwe na vyeti vya safety pia walikua wanazingatia sijui sasa hivi Mungu ni mwema kazi utapata tuu..
Na kuingiliaaaaa wanawake zao log offYaani hili unaamini ndo jibu la nilichoomba au unaanzisha thread nyingine.
KabisaHii kitu niliiona hata kwenye series ya black sails
Captain flint na ubabe wake wote alikuwa mchicha mwiba
+255 745 664 110 Short course office DMIJamani ninaomba kuuliza hivi kwa Sasa mandatory course ni shilingi ngapi pale dmi
Thanks bro!+255 745 664 110 Short course office DMI
wacheki humo boss
Black sails ndio nimeianza hapa season 1 nipo episode ya 4.Hii kitu niliiona hata kwenye series ya black sails
Captain flint na ubabe wake wote alikuwa mchicha mwiba