Mfahamu Baharia wa meli, Idara za meli na nafasi za mabaharia katika meli

AB(able seafarer)
Ni lazima awe amesoma rating of navigation watch keeping.

Na awe amesoma Able seafarer..

(ORDINARY SEAMAN) ni baharia wa kawaida ambaye hajasoma able seafarer.
Wala hajasoma navigation watch keeping hajasoma..

AB ndy mtendaji mkuu wa Kazi zote on deck..

OILER baharia wa engine department na ni lazima awe amesoma engine rating.,

WIPER ni baharia wa engine ambaye hana engine ratings..

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Kuna wadogo zangu wa kule tanga na temeke pale wamezamia huko wanajiita mabaharia hao kwa mitusi na kupost misiba kila siku kwenye post zao za face book hawajambo
 
Nina degree ya Logistics and Transport Management nimepata pale NIT, nataka kuwa baharia course gani ya ubaharia itanifaa?
 
Safari ni ndefu kama utataka kufika rank za juu ila kama unataka level za chini ni rahisi sana.

Unatakiwa ukasome mandatory courses ambazo zipo tano baada ya hapo utatakiwa ukachukue cdc ambayo ni kama passport ya kusafiria kwa mabaharia, ukishamaliza hapo inabidi uende ukafanye kazi kwenye meli ili uje kusoma rating. Hii ni option one

Optione.2

Unaweza kusoma diploma au degree ya ubaharia (kama umri wako unaruhusu nakushauri utumie option 2)

Ubaharia una hela nyingi sana ni vile wabongo wengi hawajafunguka. Imagine mimi mburula wa buza nakula mshahara wa 5milion kwa mwezi
 
Nina miaka 28, vp kuhusu kazi zinapatikana?
 
Mm Nina bro wangu naye ni baharia kanikomalia sana niingie kwenye fani, na mwaka huu nimezamilia, Nina diploma & degree zote electrical and Electronic Engineering, ila kaniambia nikiingia kusoma baada ya mandatory courses nisome rating forming part of engineering watch, na nisisome electro technical rating kaniambia nikadili na engine coz kazi za kumwaga ni za engine. Naomba kuuliza je itanigharimu seatime ya muda Gani ili niweze kusoma class III (Third engineer/officer in charge of engineering watch). Au nidili na electro technical rating ili baadae nisome ETO. Msaada tafadhali!
 
Safari ni ndefu kama utataka kufika rank za juu ila kama unataka level za chini ni rahisi sana.

Unatakiwa ukasome mandatory courses ambazo zipo tano baada ya hapo utatakiwa ukachukue cdc ambayo ni kama passport ya kusafiria kwa mabaharia, ukishamaliza hapo inabidi uende ukafanye kazi kwenye meli ili uje kusoma rating. Hii ni option one

Optione.2

Unaweza kusoma diploma au degree ya ubaharia (kama umri wako unaruhusu nakushauri utumie option 2)

Ubaharia una hela nyingi sana ni vile wabongo wengi hawajafunguka. Imagine mimi mburula wa buza nakula mshahara wa 5milion kwa mwezi
Mm nataka kusoma marine engineering, vp ina soko.
 
AB(able seafarer)
Ni lazima awe amesoma rating of navigation watch keeping.

Na awe amesoma Able seafarer..

(ORDINARY SEAMAN) ni baharia wa kawaida ambaye hajasoma able seafarer.
Wala hajasoma navigation watch keeping hajasoma..

AB ndy mtendaji mkuu wa Kazi zote on deck..

OILER baharia wa engine department na ni lazima awe amesoma engine rating.,

WIPER ni baharia wa engine ambaye hana engine ratings..

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Naomba ufafanuzi wa oiler kaka
 
Naomba ufafanuzi wa oiler kaka
-(Oiler) Huyu ni experienced wiper ambaye amesoma rating of engine watch keeping
,yeye ni msaidizi wa fundi mkuu (chief engineer) ,,2nd engineer,3rd engineer.
wote hawa ni wakubwa wa oiler.
Oiler hufanya kazi zote zinazohusu ufundi wa meli mfano -
-kuweka oil na kusimamia kusimamia kuweka mafuta /kuweka maji ,kufanya soundings melini nk.
-kufanya marekebisho mbali mbali yanayohusu ufundi...

-Wiper ni baharia upande wa engine ambaye bado hana experience kubwa na mambo ya ufundi wa meli,,pia hajasoma mambo ya rating watch keeping of engine.

Vyeo vya engine department (melini)kuanzia cheo kidogo kwenda juu.
-Wiper
-Oiler
-3 rd engineer
-2 nd engineer
-Chief engineer..
 
.(Oiler) Huyu ni experienced wiper ambaye amesoma rating of engine.

Wiper ni baharia upande wa engine ambaye bado hana experience kubwa na mambo ya ufundi wa meli,,
Akijiendeleza na kusoma hiyo coarse inatwa rating of engine,, anapata cheti ambacho kitamtambulisha kama oiler...

-Wiper
-Oiler
-3 rd engineer
-2 nd engineer
-Chief engineer..

Hivyo vyeo vya engine department kutoka cheo cha chini hadi fundi. mkuu(chief engineer)
Ndo hii DMI wanaiita Rating forming part of an engineering watch?
 
Je mtu mpaka aweze kufanya kazi kwenye izi meli wanaita oil,chemical tanker ship kuna requirements gani muhimu sana lazima ziwepo
Lazima asome vyeti vyote vya ubaharia,,halafu anasoma special couse ya mambo ya tanker and gas.

Inaitwa( gas /chemical and oil tanker Couse)bila hii hufanyi meli za mafuta wala.gas wala chemical
 
DMI wanayo hii Basic training for oil and chemical tanker cargo operations inafundishwa wiki1 natumai ndo yenyewe unaimaanisha?
 
Ndy hyo,, hata Mimi nimesoma hyo ingawa sifanyi meli za mafuta,

Mwanzo walikuwa wanaiita tanker and oil familarization enzi za (SUMATRA)
,,baadae wakaiita oil and chemical tanker cargo operations..
Ila course ndy hiyo
 
Back
Top Bottom