Watanzania hatujachelewa; tuwekeze kwenye Cryptocurrencies!

Na mimi nilinunua aisee! Teh teh! Sema kama sio maneno ya watu ningenunua nyingi zaidi ila sio mbaya!

Nadhani itaweza consolidate kiasi flan ndani ya miezi michache kabla ya kuendelea juu!

HODL
Mkuu km unazo kuanzia milioni kuendeleaa, ww subiri tu ule mema ya nchi, yan hii itatoboaa tuu, kuna baadhi ya coin hazina ata jina lakin znavyokimbiza duuh,,,, mm namuomba Mungu yan Shiba ikitusua tuu ni kufurahi maisha... Vijana wenzetu wawekeze tukianza kuwa na maburungutu wasijesema sisi n fremason
 
Hii thread haina uhai Itafutwa soon. Nilianzisha uzi kama huu + kutoa madini ya kutosha but uzi ukapigwa pin.
Cjui kwann, mimi nilitoa uzi wa kupeana coin ambazo n potential tuwekeze chakushangaza ukaja unganisha na uzi miaka tele ya nyuma tena wala haviendani... Ila ipo cku tutaongea lugha moja kuhusu cryptocurrency acha watu wabeze tu
 
Shiba ikifika value ya leo ya Dogecoin,nakua milionea,inshallah,acha tuendelee kuhold
Mkuu hold wala usikate tamaa shilingi inaweza kupinduka saa yyte, its a matter of time, tena usiishie kuhold tu fanya na staking zitie fixed ata kila baada ya mwezi utazivuuna saana mkuu
 
Je naomba kuuliza kwasisi tunaokomaa na coin za bure Kama eagle coin na Pai coin tunaweza kutoboa au tunapoteza muda
Ila Jitahidi asee uokoteze na vi coin vingine, zpo coin ambazo ni potential na bado zpo chini price. Muda sio rafiki utakuja jilaumu baadae
 
Wekeza wewe mzee kwenye huo ukichaa wenu,ebo!!
Mkuu panapo majaaliwa ya uzima hii comment yako tutakuja kukumbusha 2025 afu utatwambia wakati huo kuwa tulikuwa tunawekeza kwenye ukichaaa au lah,,,, tutakukumbusha mkuu afu tutamuona fala ni nan wakati huo.
 
HAHHAHAHA KUWASOMA WABONGO NI RAHISI SANA KUNA WATU WANAENDA KUPIGWA HAPA KUANZIA MUANZISHA MADA NA WAFUAWASI WAKE WANAWAVUTA KIAINA WATU HAPA
Cryptocurrency Haina utapeli kama FOREX. Kwa hiyo Kama hujui tulia hivyo hivyo.

Afu uache kuandika maherufi makubwa.
 
Mkuu km unazo kuanzia milioni kuendeleaa, ww subiri tu ule mema ya nchi, yan hii itatoboaa tuu, kuna baadhi ya coin hazina ata jina lakin znavyokimbiza duuh,,,, mm namuomba Mungu yan Shiba ikitusua tuu ni kufurahi maisha... Vijana wenzetu wawekeze tukianza kuwa na maburungutu wasijesema sisi n fremason
Hizo coin zinajizalishaje mpaka mpate hela? Yaani hizo coin zinazalishaje faida?
 
Cryptocurrency Haina utapeli kama FOREX. Kwa hiyo Kama hujui tulia hivyo hivyo.

Afu uache kuandika maherufi makubwa.
Hizo coin zinajihusisha na shughuli gani ya uzalishaji mpaka nyie mpate hela??

Yaani inakuwaje uweke million alafu baada ya muda upate faida ya million nyingine labda? Naomba mnijulishe nifanye maamuzi
 
HAHHAHAHA KUWASOMA WABONGO NI RAHISI SANA KUNA WATU WANAENDA KUPIGWA HAPA KUANZIA MUANZISHA MADA NA WAFUAWASI WAKE WANAWAVUTA KIAINA WATU HAPA
Ukijaribu kufatilia hizo ID hata kwenye Forex watetezi ni same people
 
Hizo coin zinajihusisha na shughuli gani ya uzalishaji mpaka nyie mpate hela??

Yaani inakuwaje uweke million alafu baada ya muda upate faida ya million nyingine labda? Naomba mnijulishe nifanye maamuzi
Kama Hadi Karne Hii huelewi Blockchain technology inavyofanya kazi na huelewi kwanini Bitcoin ime survive kwa miaka kibao na kuaminiwa na watu matajiri Duniani Kama Bill Gate wenye big team ya financial advisors na kuwekeza mamilion afu wewe Mangungo wa Kilwa unaipinga bila utafiti wowote na kutokana na uvivu wako wa kutokujusomea.

Sikulaumu, nakupa challenge uchimbe zaidi na ujifunze zaidi coz in this age of information, ignorance inakuwa Ni Kama choice yako mwenyewe tu.

Ningefafanua lakini Sina muda Niko busy saana kuelezea complex phenomenon ya cryptocurrency labda nitakupa baadhi ya reference za humu jf ukajisomee zaidi.
 
January nilinunua Shiba inu kwa $600 sawa na 100,000,000 shib.x sasahivi $600 sawa na $3,100 December inaweza kuwa sawa na $30,000 na 2023 au 2025 sawa na $100,000,000.
Kama unawekeza kwenye cryptocurrency angalia shiba inu, Btt.x Umb na doge coin. Utanishukuru sana ifikapo 2025

Lunatic
 
Hii thread ya humble African imeelezea kwa undani saana cryptocurrency.
 
Kama Hadi Karne Hii huelewi Blockchain technology inavyofanya kazi na huelewi kwanini Bitcoin ime survive kwa miaka kibao na kuaminiwa na watu matajiri Duniani Kama Bill Gate wenye big team ya financial advisors na kuwekeza mamilion afu wewe Mangungo wa Kilwa unaipinga bila utafiti wowote na kutokana na uvivu wako wa kutokujusomea.

Sikulaumu, nakupa challenge uchimbe zaidi na ujifunze zaidi coz in this age of information, ignorance inakuwa Ni Kama choice yako mwenyewe tu.

Ningefafanua lakini Sina muda Niko busy saana kuelezea complex phenomenon ya cryptocurrency labda nitakupa baadhi ya reference za humu jf ukajisomee zaidi.
Mkuu mbona maswali yangu ni rahisi..

Unatengenezaje pesa kwenye hayo mambo? Yaani hizo coins zinazilianaje?

Mfano mimi nafahamu nikilima shamba la Ufuta huku Kilwa lazima nihitaji ardhi, majembe, mbegu, viwatilifu, mvua na kiasi cha pesa ili angalau niweze kuvuma mazao ambayo nitayapeleka sokoni ndio nitengeneze fedha.

Sasa hizo coins zinafanya nini ili kuzaliana au kuzalisha fedha?
 
January nilinunua Shiba inu kwa $600 sawa na 100,000,000 shib.x sasahivi $600 sawa na $3,100 December inaweza kuwa sawa na $30,000 na 2023 au 2025 sawa na $100,000,000.
Kama unawekeza kwenye cryptocurrency angalia shiba inu, Btt.x Umb na doge coin. Utanishukuru sana ifikapo 2025

Lunatic
Inakuwaje hizo coins zinapanda thamani hivo? Hakuna udaku kweli kwenye hayo mambo? Hizo coins zinazalisha nini hasa mpaka thamani yake inapanda hivyo?

Je wachina ni wajinga kukataa hizo coins na kuzipiga marufuku??
 
Mkuu km unazo kuanzia milioni kuendeleaa, ww subiri tu ule mema ya nchi, yan hii itatoboaa tuu, kuna baadhi ya coin hazina ata jina lakin znavyokimbiza duuh,,,, mm namuomba Mungu yan Shiba ikitusua tuu ni kufurahi maisha... Vijana wenzetu wawekeze tukianza kuwa na maburungutu wasijesema sisi n fremason
acha tuendelee ku hold mkuu pia tuendelee kuchek coin nyingine zenye potential
 
Mkuu hold wala usikate tamaa shilingi inaweza kupinduka saa yyte, its a matter of time, tena usiishie kuhold tu fanya na staking zitie fixed ata kila baada ya mwezi utazivuuna saana mkuu
Hii staking nataka niicheki vizuri inaweza kuwa na potential na yenyewe! Nilishaona some videos zinaomgelea hii kitu sema sikuiweka akilini kiivo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom