mzee alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 711
- 264
- Thread starter
- #21
Funguka mkuuAaanh. ..ndio mana
Funguka mkuuAaanh. ..ndio mana
Ni vizuri kuwa na dream hiyo. Kama nimekuelewa unatamani kuqa nahodha ama baharia. Kwa hapa sehemu sahihi kuanza Dar es salaam Maritine Institute. Kapige kozi hapo. Wazo zuriNimemaliza form six mwaka huu
Mkuu Asante lakni changamoto ya kazi ndo inanipa wasiwasi maana huwez maliza dip au degree ya marine transport au engineering na ukajiajili,Ni vizuri kuwa na dream hiyo. Kama nimekuelewa unatamani kuqa nahodha ama baharia. Kwa hapa sehemu sahihi kuanza Dar es salaam Maritine Institute. Kapige kozi hapo. Wazo zuri
Mkuu natamani nikufate pm lakni jf ni kwa faida ya wote ebu nielezee zaidi umeludi nchi kavu umeachana na ubaharahia au ndo aje, iyo sea time ya 6mnth unapangiwa sehem yakwenda kama field study ama inakuajeKomaa kaka mi nlipiga hapohapo DMI nkaenda sea time miezi sita nikarudi nkasoma rating sasaivi ni Quartermaster/AB nimerudi nchi kavu kuendeleza harakati nyengine.
Ubaharia raha asikwambie mtu.na uzuri wa hii profesheni unaweza kupanda madaraja kidogokidogo huku ukiendelea kupiga mzigo,unaweza kuanza kama OS baada ya miaka kadhaa ukiwa na bidii na kujiendeleza kielimu unafikia kuwa Master/captain.
Zipo njia mbili za kuwa seaman,eidha short course au long course,long course unaanza certificate kisha diploma then degree,alafu kuna short course ambayo ndo nliyopitia mimi,unasoma mandatory courses kwa muda wa wiki sita ama tano,Kisha unapata vyeti SUMATRA pamoja na discharge book,ukishavipata hivyo tayari unakuwa na uwezo wa kufanya kazi melini kama Ordinary sailor,baada ya hapo ili kujiendeleza unatakiwa kufanya kazi melini walau miezi 6,then ukitaka unarudi kusoma rating ambayo inachukua wiki sita ukimaliza hapo unakuwa umepanda rank kutoka OS mpaka AB (Able bodied seaman),ukitaka kujiendeleza unnarudi chuo,lakini mpaka baada ya kuwa na kufanya kazi melini kwa mwaka mmoja au miwili kama skosei.Mkuu natamani nikufate pm lakni jf ni kwa faida ya wote ebu nielezee zaidi umeludi nchi kavu umeachana na ubaharahia au ndo aje, iyo sea time ya 6mnth unapangiwa sehem yakwenda kama field study ama inakuaje
Asante mkuu me natarajia kuanza long course apo dmi mwaka huu. Ivi bongo tunazo meli kweli, sea time unalipwa au dolo?Zipo njia mbili za kuwa seaman,eidha short course au long course,long course unaanza certificate kisha diploma then degree,alafu kuna short course ambayo ndo nliyopitia mimi,unasoma mandatory courses kwa muda wa wiki sita ama tano,Kisha unapata vyeti SUMATRA pamoja na discharge book,ukishavipata hivyo tayari unakuwa na uwezo wa kufanya kazi melini kama Ordinary sailor,baada ya hapo ili kujiendeleza unatakiwa kufanya kazi melini walau miezi 6,then ukitaka unarudi kusoma rating ambayo inachukua wiki sita ukimaliza hapo unakuwa umepanda rank kutoka OS mpaka AB (Able bodied seaman),ukitaka kujiendeleza unnarudi chuo,lakini mpaka baada ya kuwa na kufanya kazi melini kwa mwaka mmoja au miwili kama skosei.
Sea time unatafuta mwenyewe kwenye meli za bongo au kwengineko duniani.Kazi ya meli inalipa sana kama ukifanya makaratee ya kupata meli.
Mimi nilipiga kama hobby tu sababu napenda adventure na maji,sikupanga iwe ni shughuli endelevu.
Mengineyo wataongezea wengine na waweza tembelea chuoni DMI kwa maelezo zaidi
Zipo njia mbili za kuwa seaman,eidha short course au long course,long course unaanza certificate kisha diploma then degree,alafu kuna short course ambayo ndo nliyopitia mimi,unasoma mandatory courses kwa muda wa wiki sita ama tano,Kisha unapata vyeti SUMATRA pamoja na
Kilalaheri baharia mtarajiwa.timiza malengo.[emoji572]Asante mkuu me natarajia kuanza long course apo dmi mwaka huu. Ivi bongo tunazo meli kweli, sea time unalipwa au dolo?
Jomon mod rekebisheni title mwishoni isomeke seafarerMzee Alpha:
Waombe Mods warekebishe hapo hicho kichwa cha Habari husika , Isomeke...
Seafarer...
Mzee Alpha:
Waombe Mods warekebishe hapo hicho kichwa cha Habari husika , Isomeke...
Seafarer...
Mkuu naomba kuuliza hiyo seatime ya miezi SITA baada ya mandatory course Kwa hapa bongo wanatoa chochote au ni free kama upo fieldZipo njia mbili za kuwa seaman,eidha short course au long course,long course unaanza certificate kisha diploma then degree,alafu kuna short course ambayo ndo nliyopitia mimi,unasoma mandatory courses kwa muda wa wiki sita ama tano,Kisha unapata vyeti SUMATRA pamoja na discharge book,ukishavipata hivyo tayari unakuwa na uwezo wa kufanya kazi melini kama Ordinary sailor,baada ya hapo ili kujiendeleza unatakiwa kufanya kazi melini walau miezi 6,then ukitaka unarudi kusoma rating ambayo inachukua wiki sita ukimaliza hapo unakuwa umepanda rank kutoka OS mpaka AB (Able bodied seaman),ukitaka kujiendeleza unnarudi chuo,lakini mpaka baada ya kuwa na kufanya kazi melini kwa mwaka mmoja au miwili kama skosei.
Sea time unatafuta mwenyewe kwenye meli za bongo au kwengineko duniani.Kazi ya meli inalipa sana kama ukifanya makaratee ya kupata meli.
Mimi nilipiga kama hobby tu sababu napenda adventure na maji,sikupanga iwe ni shughuli endelevu.
Mengineyo wataongezea wengine na waweza tembelea chuoni DMI kwa maelezo zaidi