Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,394
Mimi mzuri kuliko hiyo AvatarMbona mtoto mzuri hivi au hako ka do sio kako ume download?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mzuri kuliko hiyo AvatarMbona mtoto mzuri hivi au hako ka do sio kako ume download?
Hatareeeee, Sababu avatar tu mwenzio niko hov
Sio laki mbili bhana, acha kumdanganya. Angalau au na laki tatu hivi...Inategemea unatokea wapi,kama Dar es Salaam inahitajika kama laki 2 hivi unafika comfortably
Ka ka angu amekaa Botswana miaka 20 hakurudi hata na kijiko. Yan huko alienda kupoteza muda tu.
Hayo ni maneno tu ila nchi yeyote Ile ukifika border lazima ujieleze kinachokupeleka ( show money) hiyo lazima uonyeshe lakini wakati mwingine hauulizwi wanakuuliza pia wakupe muda gani Mimi nimeishi huko Francistown na Gaborone halafu rate ya Ukimwi unapoitaja Tswana rejelea nchi Yako pia Ngoma IPO sanaNasikia Botswana kama ndio mara ya kwanza kwenda alafu hauna mwenyeji uendako wanakuzingua boarder Hamna kuingia. Kwa yeyote mwenye trick ya kutuelekeza tufanyaje kwa sisi ambao hatuna wenyeji Botswana tufanyeje ili na cc tutie miguu Pande zile?
VP kaka work permit kwa skilled workers (doctors & engineers) wanatoa hivi Sasa au ni kipengeleHayo ni maneno tu ila nchi yeyote Ile ukifika border lazima ujieleze kinachokupeleka ( show money) hiyo lazima uonyeshe lakini wakati mwingine hauulizwi wanakuuliza pia wakupe muda gani Mimi nimeishi huko Francistown na Gaborone halafu rate ya Ukimwi unapoitaja Tswana rejelea nchi Yako pia Ngoma IPO sana
+267baada ya kutafuta kazi bila mafanikio kwa muda mrefu sana nimemua kuja Botswana huku maisha angalau cz nimeajiliwa kama dereva tax nimepanga getto ila kuna vishawishi balaa watoto wazuri kibao ukiwa na documents halali uta enjoy maisha
Yes wanatoa hawana tatizo Tena Health sector chance ni kubwa sana wabongo ni wengi sana Diaspora aslimia kubwa wanatokea hiyo kadaVP kaka work permit kwa skilled workers (doctors & engineers) wanatoa hivi Sasa au ni kipengele
mkuu kama wwe umesomea IT, Engineering Na maswali ya afya huku wwe ni dili kubwa sna