Naomba kujuzwa chuo kinachofundisha ufundi TV, Redio, Simu nk (Electronics) Mwanza

Skull dance

Senior Member
Mar 11, 2021
169
336
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nataka kujifunza ufundi wa vifaa vya umeme kama TV, Redio, simu na vinginevyo naomba kujuzwa chuo kizuri cha kujifunza ufundi huo hapa Mwanza.
 
Back
Top Bottom