Recent content by Mlango wa gunia

  1. Mlango wa gunia

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kutengeneza kisima Dar

    Well said thanks Candid
  2. Mlango wa gunia

    JamiiForums Tanzania Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

    Napita tuuu
  3. Mlango wa gunia

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Alizeti (Sunflower): Masoko, Mbinu na Ushauri toka kwa wadau

    hakika jembe halimtupi mkulima
  4. Mlango wa gunia

    JamiiForums Tanzania Kazi ya (NO) Security officer UN

    hii ni Internal Vacancy kama kichwa cha habari kinavyo jionyesha hapa chini UNITED NATIONS WORLD FOOD PROGRAMME INTERNAL VACANCY ANNOUNCEMENT "WFP is an equal opportunity employer and qualified women are strongly encouraged to apply"
  5. Mlango wa gunia

    JamiiForums Tanzania Samsung 32" lcd tv kwa 650,000/=

    biashara hii iko wapi tuje?
  6. Mlango wa gunia

    JamiiForums Tanzania Polisi kaniharibia siku yangu

    Type hii ndio tufanye nao Polisi jamii, Kabla ya kuja na agenda ya polisi jamii fagia aina hii wote
  7. Mlango wa gunia

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    me lov dis one
  8. Mlango wa gunia

    JamiiForums Tanzania Polisi jamii, mbinu hii inazuia uhalifu au inachochea?

    Kaka Ntagunga kwa nchi zilizoona tatizo matatizo ya dhana hiyo ya utumiaji nguvu na unyanyasaji wa Raia wanawaita Idara ya Polisi (Police Department au police Service) Mfano wa karibu: Following the promulgation of the new Constitution of Kenya on 27 August 2010, as laid down in Chapter 17...
  9. Mlango wa gunia

    JamiiForums Tanzania Polisi jamii, mbinu hii inazuia uhalifu au inachochea?

    kabla hawajaleta hoja ya polisi jamii walitakiwa wafanye mabadiliko makubwa yenye tija ndani ya polisi,halafu waijenge upya imani waliyoipoteza toka kwa wananchi then ndio waje na kupandikiza wazo la polisi jamii. Kwanza waache kuitwa Jeshi la polisi hili neno jeshi linawajengea dhana ya...
  10. Mlango wa gunia

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mafunzo ya intelijensia?

    Vyuo vya kusoma vingi link mojawapo ni hii B.A. in Intelligence Studies | Intel Studies Website
  11. Mlango wa gunia

    JamiiForums Tanzania associated degree

    Kwanza tusahihishane ktk jina inaitwa Associate Degree na sio Associated Degree Degree hii inatolewa ktk mfumo wa US baada ya kukamilisha miaka 2 ktk junior universities na Colleges. Roughly tunaweza kusema ni kama Foundation degree kwa mfumo wa UK BTEC Hong Kong introduced associate degrees, as...
  12. Mlango wa gunia

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    You can always win against nature but never defeat it.
  13. Mlango wa gunia

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mafunzo ya intelijensia?

    Kwa hapa TZ ni mafunzo yanapatikana ktk vyombo vya dola TISS,JWTZ na Polisi,hivyo sharti uwe mmoja wao kupata mafunzo hayo. Kwa wenzetu kama USA hiyo ni field of study kama nyinginezo unaweza kusoma katika universities kadri ya uwezo wako
  14. Mlango wa gunia

    JamiiForums Tanzania Tanzania on alert!

    Hawa wa "k" wametumwa kwa maslahi ya wakubwa.Wakubwa hawataki tena kwenda na vita ya ardhini halafu wakapigwa kwa mara ingine tena,ndio sababu France inawasaidia kenya kurusha makombora kutokea kwenye meli yake ya kivita bahari ya Hindi na Marekani imeweka base yake ya drones kama sikosei...
  15. Mlango wa gunia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya declares war on Al Shabaab!

    Elgiva Bwire has been jailed for life after admitting that he was an Al Shabaab member and was behind the attack in Nairobi's OTC bus stop on the evening of Monday October 24. Bwire, alias Mohamed Seif told said he had no regrets after a magistrate read out the sentence for his crimes, that...
Back
Top Bottom