sasa fanyeni Kyela,Chunya .Mbozi na wilaya zilizobaki ili tufahamu kweli hamuwatakiWatu wa CCM ni wauaji kabisa na sisi huku Mbeya hatuwataki kabisa.
ninachojua huyu bwana harudi kama alivyokwenda.......ana bahati maana hata ile dawa ya meno aliyopelekewa kama zawadi huko india hakuitumia maana tungekwa tunaongea mengine kabisa mda huu.....shukrani ziwaendee vjana wanaomtakia memo waliofikisha habari kabala box la dawa hiyo halijafika
Kwa sababu tumesimama upande wa haki tutashinda. Neno la Mungu linasema punje isipodondoka kwenye mchanga kufa na kuoza, haiwezi kuzaa kitu. Mwakyembe anaweza kuwa punje
Kama ni kweli ni sumu, wahusika wanajulikana. Kwa nini hawaguswi?
wakuu huku moshi hatujapata magazeti hajui ni kwa nini wauza magazeti walikuwa wanauza ijumaa tafadhali tuwekeeni tuionewakuu mwenyekuweza kuweka picha basi hata kama kupiga picha ktk hilo gazeti kwa simu tafadhali
Wewe umejuaje wahusika wanajulikana?
Kama unawajua wataje hapa nasi tujue. Halafu, is it really confirmed ya kwamba amepewa sumu? Tena sumu hizo hapo juu au ni tetesi tuu hizi?
Tujuzane kiukweli jamani
Wewe umejuaje wahusika wanajulikana?
Kama unawajua wataje hapa nasi tujue. Halafu, is it really confirmed ya kwamba amepewa sumu? Tena sumu hizo hapo juu au ni tetesi tuu hizi?
Tujuzane kiukweli jamani
Kama ni kweli ni sumu, wahusika wanajulikana
Pole zake, magamba nafikiri wako clean acheni uchochezi wenu. Are u sure kweli ni magamba wamemuua na siyo evil spirit toka kwa wana Mbeya???