Polisi kaniharibia siku yangu

Polisi kaniharibia siku yangu

Akifika nyumbani kwake sijui itakuwaje.Lakini hata nyinyi mmemharibia siku yake...
 
polisi wao ndo wanaongoza kuvunja sheria,pole mkuu
 
wananifurahisha tu pale nilipoenda kureport tukio la wizi wakadai mpaka niwapelekee uthibitisho wa kuibiwa ndo wataandika report yangu. labda mnisaidie ndugu zangu utathibitisha vipi polisi kuwa umeibiwa?

hahahahahaha u have made my day
 
Type hii ndio tufanye nao Polisi jamii,
Kabla ya kuja na agenda ya polisi jamii fagia aina hii wote
 
kila jambo litokealo kuna zuri laja heri ulitoka ktk gari hilo.pole
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom