Wapi nitapata mafunzo ya intelijensia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi nitapata mafunzo ya intelijensia?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Perry, Oct 30, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Wadau ni chuo gan hapa tanzania kinafundsha masomo ya mambo ya intelijensia ili nami nijiunge?
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Sijawahi Kusikia chuo kinachofundisha ujasusi isipokuwa ktk majeshi yetu.
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Labda watafute private detectives kama wapo bongo.
   
 4. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  mkuu unataka kutu eleminate nini? Nalog off
   
 5. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Nafikiri amechoka na itelijensia uchwara za serikali ya magamba.
   
 6. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kamuone Mkuu wa Polisi atakueleza !
   
 7. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Anataka naye apate deal la kumuweka Rais madarakani mwaka 2015. Nalog off
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Inteligence haifundishwi. Kinachofundishwa kingine kabisa, inategemea na "how intelligent you are" kuelewa.

  Kwanza kabisa, anza kwa kusoma kila unachokutana nacho. Usichaguwe cha kusoma. Anzia hapo.
   
 9. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,909
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Kama uko Dar wahi pale Ubungo asubuhi sana, panda gari la kwenda Moshi.
  Ukifika Moshi ulizia CCP uelezwe masomo yanaanza lini.
   
 10. Mlango wa gunia

  Mlango wa gunia Senior Member

  #10
  Oct 30, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa hapa TZ ni mafunzo yanapatikana ktk vyombo vya dola TISS,JWTZ na Polisi,hivyo sharti uwe mmoja wao kupata mafunzo hayo.
  Kwa wenzetu kama USA hiyo ni field of study kama nyinginezo unaweza kusoma katika universities kadri ya uwezo wako
   
 11. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  dont wes your precious time wapongo watakufundisha kuhesabu vizibo vya bia tu labda kidogo severence ya kikoloni na kupeleka umbeya, kabla gaddafi hajaondoka bengazi walikuwa wanatoa kozi , pia ulinzia southafriica jamaa wa boss, wana toa somo, babu kubwa jamaa wa mosad hawa ni jews,
   
 12. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Nina wasiwasi kama umemuelewa muanzisha uzi....
   
 13. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hakuna chuo kwa tz labda usome via internet searchblazer.com anzia hapo kuna vitu vya maana!
   
 14. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  du wewe bwana nadhani hiyo uwa wasoma watu tiss
   
 15. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  duh. Wee kiboko!
   
 16. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Umeona eeh? yaani anataka kuwa shushushu!
   
 17. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Imetulia FF!
   
 18. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #18
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Mh, usije ukadhani hiyo ndo njia sahihi ya kuwaadabisha wabaya wako
  kwa kwenda kusoma intelijensia. Hata hivyo mi' napita tu sitaki ushahidi...
   
 19. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimewasoma japo kidogo mosad lakini sijapata details za kutosha kuwahusu. Mwenye nazo zaidi plz
   
 20. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Huo ni ukweli kabisa FF. Kuna kitabu cha field officer wa Mosad who defected kinaitwa By Way of Deception. Its a good reference book
   
Loading...