Kilimo cha Alizeti (Sunflower): Masoko, Mbinu na Ushauri toka kwa wadau

Mashine zinapatikana SIDO, Kwa order maalumu. kuna oil expeller 3ml hadi 4ml. kuna chekeche 1,500,000. kuna filter 3ml. Unaweza kununua pamoja na refinery 3ml.

IMMA, kwa hiyo ili upate complete set ni kuwa inabidi ununue pieces zote ulizotaja hapo juu? maintenance ya hizi machine ikoje
 
Mashine zinapatikana sido na kwa wahindi. Nimemnunulia mjombangu mashine moja kwa milioni nane pamoja na filter ina mabomba kumi na mbili.

Igembe Nsabo nisaidie, Unauza lita ishirini za mafuta kwa bei gani. Nadhani bei ya shilingi 2,500 kwa lita itakupa shilingi elfu hamsini kwa lita 20.

Naogopa kidogo, Kuhusu kulima wengi wanalima kwa njia za asili. Ukilima kitaalam, utapata tani nne za alizeti kwa ekari moja. Huende ukishirikisha wataalaam utalima kwa faida.

Mimi nimefanya utafiti wa kilimo cha mpungu cha umwagiliaji. Ekari moja gharama yote ni shs 300,000. Mavuno ni magunia 40 minimum.

Una uhakika wa kuuza shs 2,500,000 kwa ekari moja. Kilimo ni ukombozi ni vizuri tunaopenda kilimo tulime sehemu moja ili kupunguza gharama.

Tuchangie gharama za mtaalam, gharama za kusafirisha pembejeo na hata usafiri wetu wa kwenda na kurudi shamba.
 
Ukiacha za sido zipo kibao za kichina zinafika 4.5m set nzima motor ya 20HP,chekeche na filter...kazi kwenu wajasirimali
 
Mkuu je hiko kilimo cha mpunga ulichozungumzia kinachukua muda kupanda mpaka kuvuna? Na je ni mkoa gani unaweza fanya kilimo hiki?nitashukuru kwa majibu yako?
Mashine zinapatikana sido na kwa wahindi. Nimemnunulia mjombangu mashine moja kwa milioni nane pamoja na filter ina mabomba kumi na mbili. Igembe Nsabo nisaidie, Unauza lita ishirini za mafuta kwa bei gani. Nadhani bei ya shilingi 2,500 kwa lita itakupa shilingi elfu hamsini kwa lita 20. Naogopa kidogo, Kuhusu kulima wengi wanalima kwa njia za asili. Ukilima kitaalam, utapata tani nne za alizeti kwa ekari moja. Huende ukishirikisha wataalaam utalima kwa faida. Mimi nimefanya utafiti wa kilimo cha mpungu cha umwagiliaji. Ekari moja gharama yote ni shs 300,000. Mavuno ni magunia 40 minimum. Una uhakika wa kuuza shs 2,500,000 kwa ekari moja. Kilimo ni ukombozi ni vizuri tunaopenda kilimo tulime sehemu moja ili kupunguza gharama. Tuchangie gharama za mtaalam, gharama za kusafirisha pembejeo na hata usafiri wetu wa kwenda na kurudi shamba.
 
Kilimo cha mpunga kinachukua muda wa miezi mitatu hadi minne hadi kuvuna. Mikoa mingi inaweza zalisha mpunga vizuri. Mbeya, Iringa, Morogoro, Dar es Salaam, Pwani, Ruvuma, Mwanza na shinyanga. Pembejeo kama planters za mpunga, harvesters na tractors hata powerilers ni muhimu sana. Rafiki yangu alianza kwa umasikini mkubwa kulima ifakara baada ya kupata redundancy nbc. Alianza na ekari 5 miaka saba iliyopita. Sasahivi ana matrector kumi na analima ekari elfu moja na anavuna zaidi ya magunia ya mpunga elfu 50. Chakula kitaendelea kupanda bei kwa muda mrefu.
 
Mh,nashukuru kwa majibu yako

Igembe Nsabo nisaidie, Unauza lita ishirini za mafuta kwa bei gani. Nadhani bei ya shilingi 2,500 kwa lita itakupa shilingi elfu hamsini kwa lita 20. Naogopa kidogo, Kuhusu kulima wengi wanalima kwa njia za asili. Ukilima kitaalam, utapata tani nne za alizeti kwa ekari moja.
Kibananhukhu, Mimi kwa sasa nimesimama kuzalisha kutokana na shortage ya Raw material ila price ya 5lt ina range from 17,000 to 19,000. Ninachoweza kusema ni kuwa biashara hii ni nzuri na demand yake is unfulfilled. Sasa hivi Gunia hilo hilo linauzwa mpaka Tsh 55,000 au 60,000/= kule kule shamba halijaja hapa mjini. Kuna kitu kinaitwa Mashudu (Cake), hii bidhaa nayo ni hot cake na demand yake ni kubwa sana.
Kikubwa hapa ni mtaji usiwe na mtaji mdogo sana kwani economies of scale it can affect you! Jaribu kushirikiana na wezako ili muwe na mtaji wa kuweza kuiendesha hii biashara bila shida.
 
matambo

Mkuu umetoa ushauri mzuri sana, yaani kama haya mawazo yanayopatikana humu JF kama watu tutaamua kuyatumia kikweli kweli, tutauaga umaskini kabisa. Ila ulichoniua tena ni kunikumbusha kitabu cha kiswahili darasa la nne (Ulikuwa usia wa baba baada ya kushikwa na homa kali ikabidi awausie watoto wake). Asante sana Mkuu! Ingawa naona huyo ndugu yetu pengine hakuwahi kukisoma kitabu hicho.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu sisi tumeanza kuungana baadhi ya members wa JF ili tulime kwa pamoja!!

Igembe Nsambo nitakutafuta maana kuna mambo mazuri ya kujadili.
 
hakika jembe halimtupi mkulima

Kilimo cha mpunga kinachukua muda wa miezi mitatu hadi minne hadi kuvuna. Mikoa mingi inaweza zalisha mpunga vizuri. Mbeya, Iringa, Morogoro, Dar es Salaam, Pwani, Ruvuma, Mwanza na shinyanga. Pembejeo kama planters za mpunga, harvesters na tractors hata powerilers ni muhimu sana. Rafiki yangu alianza kwa umasikini mkubwa kulima ifakara baada ya kupata redundancy nbc. Alianza na ekari 5 miaka saba iliyopita. Sasahivi ana matrector kumi na analima ekari elfu moja na anavuna zaidi ya magunia ya mpunga elfu 50. Chakula kitaendelea kupanda bei kwa muda mrefu.
 
ndugu zangu sisi tumeanza kuungana baadhi ya members wa JF ili tulime kwa pamoja!!..
igembe nsambo nitakutafuta maana kuna mambo mazuri ya kujadili

Kufuatia wito wenu wa kuunganan nami nitawatafuta naomba uni PM upatapo hii nimuhimu sana tuongee leo na kesho
 
Hivi ukiprocess alizeti katika source yaani sehemu zinazolimwa kama vile singida au ukaisafirisha na kui-process mahali kama Dar es salaam ambapo soko ndilo zuri, which one will be more profitable highlighting transportation, processing cost and energy aspects.

products za alizeti ni mafuta na mashudu (cotton seed cake/meal) je, unaweza ukafanya vizuri wapi (location).
 
Wakuu the best mashine za kukamua alzet ni made in INDIA TU NA NI GHALI KULIKO ZA BONGO HAPA, Na hata hizo za INDIA ZIKO ZA SEZE TOFAUTI,

- BABATI WANAZITUMIA SANA ZA INDIA INGAWA WENGI WAO WANA ZA SIDO, ZA INDIA NI NZURI KWA UBORA,

- NA hata hizo za INDIA ni za viwanda vidogo vidogo ziko kubwa sana za viwanda vikubwa na zile ni nooma kwa kukamua na bei yake si ya kitoto,

- Mashine karibia zote za singida na zote za Babati manyara ni hizi ndogo na zinakamua mafuta kwa aslimia 75% nikimaanisha YALE MASHUNDU HUWA HAYAISHI MAFUTA NA KUNA MHINDI MMOJA ARUSHA ANAITWA MOUNT MERU MILERS huyu ndo anamitambo ya kukamua mashudu na kutoa mafuta tena, yaani mitambo yake inakamua kwa 100% tofauti na hizi ndogo ambazo zinakamua na kuacha mafuta mengi kwenye mashudu

- NA HIZI ZA HUYO MHINDI NDO HATA ZINAWEZA KUKAMUA KATAMU/ALZET YA MIBA/SUFLOWER hii aina ya alzet mbegu zake ni ngumu sana ingawa mafuta yake ndo ya PILI KWA UBORA DUNIANI BAADA YA MAFUTA YA MUZETUNI AMBAYO NI NAMBER ONE
 
Habari yenu wana JF. Mimi mkazi wa kigoma wilaya ya Kibondo. Naomba msaada wenu. Nikiwatazama ndugu zangu wakulima huku tunaishi maisha magumu lakini nilipoiona thread ya uzalishaji wa Arlizeti hapo juu kwa mchangiaji nimepata matumaini.

Maana ardhi yetu huku ni bora mno na yenye rutuba ya kufaa sana kilimo cha alizeti kuanzishwa lakini kusema kweli huku hata shamba moja hakuna! Vipi nianzeje na nikishaanza mbegu hizo nitazikamlia wapi? A

Au hadi nije nifaate singida au Arusha? Jamani mwenye uchu naomba ushauri na watu tufanye mawasiliano.

Asanteni
 
habari yenu wana JF. Mimi mkazi wa kigoma wilaya ya Kibondo. Naomba msaada wenu. Nikiwatazama ndugu zangu wakulima huku tunaishi maisha magumu lakini nilipoiona thread ya uzalishaji wa Arlizeti hapo juu kwa mchangiaji nimepata matumaini. Maana ardhi yetu huku ni bora mno na yenye rutuba ya kufaa sana kilimo cha alizeti kuanzishwa lakini kusema kweli huku hata shamba moja hakuna! Vipi nianzeje na nikishaanza mbegu hizo nitazikamlia wapi? Au hadi nije nifaate singida au Arusha? Jamani mwenye uchu naomba ushauri na watu tufanye mawasiliano. asanteni

Vipi mashamba makubwa yanapatikana huko kwenu, vipi barabara?
 
habari yenu wana JF. Mimi mkazi wa kigoma wilaya ya Kibondo. Naomba msaada wenu. Nikiwatazama ndugu zangu wakulima huku tunaishi maisha magumu lakini nilipoiona thread ya uzalishaji wa Arlizeti hapo juu kwa mchangiaji nimepata matumaini. Maana ardhi yetu huku ni bora mno na yenye rutuba ya kufaa sana kilimo cha alizeti kuanzishwa lakini kusema kweli huku hata shamba moja hakuna! Vipi nianzeje na nikishaanza mbegu hizo nitazikamlia wapi? Au hadi nije nifaate singida au Arusha? Jamani mwenye uchu naomba ushauri na watu tufanye mawasiliano. asanteni

jibu swali la Malila..............kuna njia nyingi za kuweza kufikia malengo yako
 
Back
Top Bottom