Recent content by Mikathedestinity

  1. Mikathedestinity

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Nzuri
  2. Mikathedestinity

    JamiiForums Tanzania Application nzuri kwa ajili ya whatsapp katika PC

    Participated
  3. Mikathedestinity

    JamiiForums Tanzania Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

    Ni kweli kabisa, Mfano halisi angalia mataifa kama Marekani yanavyozidi kubarikiwa
  4. Mikathedestinity

    JamiiForums Tanzania RPC apiga marufuku mahafali ya CHASO Morogoro

    Haki siku zote haiombwi lakini watz tulivo wingi wa busara tulitanguliza kuomba haki lakini ss naona tunakoelekea siko kabisa
  5. Mikathedestinity

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Dah! Nmekupata twin wangu June 26th
  6. Mikathedestinity

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Kwitegeka Kafimbo Nachingwea TTC 2013
  7. Mikathedestinity

    JamiiForums Tanzania Nimewekewa mshahara nusu, Nifanyeje kwenye hili?

    Haya ahsante mkuu
  8. Mikathedestinity

    JamiiForums Tanzania Nimewekewa mshahara nusu, Nifanyeje kwenye hili?

    Hahaha! tangu juzi naamka saa usiku kurudi usiku maana nsha mzingua hadi naonekana mm siyo
  9. Mikathedestinity

    JamiiForums Tanzania Nimewekewa mshahara nusu, Nifanyeje kwenye hili?

    Ahsanteni kwa mlionipa ushaur na pole. Kuna mtu kanambia hyo inshu inaweza ikawa imechezwa na maafisa utumish so lazma niwe makini kwan wanaweza fanya figisu wakafuta ushahidi asa ndo najiuliza nianzie kwa maafisa utumishi au nianzie hazina ndogo kwanza?
  10. Mikathedestinity

    JamiiForums Tanzania Nimewekewa mshahara nusu, Nifanyeje kwenye hili?

    Habari za leo wanaJf, Mimi ni mtumishi wa serikali ndo nmeanza kazi mwaka jana, Juzi tumeingiziwa mshahara nikashangaa kuona mshahara wangu upo nusu nikashindwa kujua kwanini na nikauliza kila mtu anasema yeye hana tatzo. Jana nmeenda bank nmechukua bank statement inaonyesha uliingia hivo...
  11. Mikathedestinity

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli analikumbuka hili au amepotezea tu?

    Mambo mengine watu tunaongea hayasense hata kidogo. Hivi jambo lingejadiliwa ndani ya Ccm bila Lowasa kujua? Kama Magufuli alijulikana kabla kuwa ndiye atakayepitishwa nadhani Lowassa na Membe hata wasingetumia nguvu kutafuta nafasi. Ukweli ni kwamba nafasi ya Magufuli haikuwepo kabla...
  12. Mikathedestinity

    JamiiForums Tanzania PhD kwa Mwl Christopher Mwakasege

    Hakika sasa napata nguvu juu ya huduma ya Mwakasege. Tuendelee kumuombea hekima alizonazo zizidi kukua
  13. Mikathedestinity

    JamiiForums Tanzania Chama cha walimu ni jipu lafaa kutumbuliwa

    Ukijaribu kuangalia vitegauchumi vinavyokusanywa na hiki chama kiukweli kinamfanyia sivyo kabisa mwalimu wa Tanzania. Kila mwl hadi anapofikia hatua ya kuretire anakua amechangia si chini ya mil.20 anakua amechangia but hela yote hyo atakachoambulia ni t_shirt na mabati 20, Ndani ya mil 20...
  14. Mikathedestinity

    JamiiForums Tanzania Mzee Sitta hiyo ndiyo CCM, nenda mahakamani

    Viva Lowassa rais wetu
  15. Mikathedestinity

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa appy yenye notes nzuri za o'level

    Kama kuna mtu anaijua au anatumia app ambayo ina notes nzur za olevel naombeni anisaidie niidownload. Please
Back
Top Bottom