Ayanda85
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 629
- 567
Utumishi wa Mungu tena ulio wa kweli nimeuona hapa leo kupitia Mwl.Chris Mwakasege...angekua mmoja kati ya hawa manabii wetu pangechimbika zingetoka shuhuda nyingi na chafu lakini kwa Mwakasege zaidi ya mabezo ya kibinadamu hakuna shutuma wala kashfa
Asante sana Mungu kwa mtumishi wako huyu endelea kumuinua na kumbariki baba ili kizazi chetu kipone..Amen
Asante sana Mungu kwa mtumishi wako huyu endelea kumuinua na kumbariki baba ili kizazi chetu kipone..Amen