Mikathedestinity
Member
- Apr 6, 2015
- 61
- 13
Habari za leo wanaJf,
Mimi ni mtumishi wa serikali ndo nmeanza kazi mwaka jana,
Juzi tumeingiziwa mshahara nikashangaa kuona mshahara wangu upo nusu nikashindwa kujua kwanini na nikauliza kila mtu anasema yeye hana tatzo.
Jana nmeenda bank nmechukua bank statement inaonyesha uliingia hivo nusu.
Nashindwa kujua nini kimetokea na isitoshe sijachukua mkopo wowote lakini kunabaadhi ya watu wanasema inawezekana kuna mtu amechukulia mkopo account salary slip yangu ndo najiuliza hivi hii inawezekanaje? na nifanyeje sasa ili nisolve hii issue.