Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Imagine surviving rocket attacks in every few minutes a day:
tukipata sukariLini tz tutafika huku
tukipata sukari
Inakubidi ukae chini na kufikiri sn ndo utajua mantic ya Comment hiyo,,
Kwa kukusaidia tu ni kwamba Mungu humsaidia mwanadamu kutengeneza ama kuvumbua kitu kwa lengo fulani alilo kusudia yeye mwenyewe,,
Hivyo kusudio kubwa la Mungu kufanikisha Ugunduzi wa ndege yenye uwezo mkubwa wa namna hiyo kwa taifa la Israel,, kusudio lake kubwa ni kulilinda taifa hilo kipenzi chake,,
maana aliahidi kulilinda daima.
A Good story teller of Israelites. Keep it upIngia YouTube tafuta documentary moja ya jamaa wawili mmoja muisrael wanafanya interview juu ya kitabu Chao Kuhusu activity za mossad na Israel spy network.
Humo utagundua waisrael spy wao unakuta mtu mmoja anammajina kama kumi ya karibu kila taifa. Utajua spy wakiarabu weñgi waliyokea Argentina ili kufuta I'd zao isionekane ni waisrael. Kuna wengine walipenya hadi kuwa mabest friends Wa wake Wa marais na watu wenye huaminiwa na kuheshimiwa ktk nchi maadui Wa Israel. Wengine walikuwa viongozi wakisafiri kuvujisha mipango ya Waarabu Israel. Kulipuliwa ndege za Waarabu haikuwa miujiza.
Pia mtafute Moshe Diane jamaa anachongo, alivyowafundisha Wamisri adabu. Aliwahi kupiga vifaru Saba vya Syria akiwa na kifaru kimoja.
Hiyo iron Dome kiboko, japo siyo 100% lakini technologia wametuzidi, imagine tz tungeshambuliwa na rocket kiasi hicho..![]()
![]()
mkuu tengua kauli watakuja speed ooooh,sema waarabu usiseme muslimsBasi tu, unashindwa kuelewa nchi kama yetu kwa nini zipo! Mungu anajua, potelea mbali. Israel kuna wakristo, waislamu kibao na misikiti yao lakini cha ajabu waisalamu wenzao - arabs: Hamas, Hezb, etc wanarusha missiles kila muda! Waislamu akili yao wanaijua wenyewe!
Hizo ni story za kipropaganda.Source nenda google, usiwe mvivu
mkuu tengua kauli watakuja speed ooooh,sema waarabu usiseme muslims
Mkuu hizi sio story, fact hata wao wanamapungufu tatizo watu walisikia Israel wanapata misismko ya kidini na kipambe. Wale wanaudhaifu mkubwa tu na wanaubora pia baadhi ya maeneoA Good story teller of Israelites. Keep it up
mkuu tengua kauli watakuja speed ooooh,sema waarabu usiseme muslims
Ni kweli kabisa, Mfano halisi angalia mataifa kama Marekani yanavyozidi kubarikiwaHiyo ni Nguvu yake mungu mwenyewe maana Aliapa kuilinda Israel yke hadi mwisho,,
Kila Aibarikie Israel atabarikiwa na kila Ailaanie Israe pia Atalaaniwa,,
Ni kiapo kikubwa sn hiki,, kwa Lugha rahisi unaweza kusema ,,kila Aipendae Israel naye Atapendwa na Mungu na kila atakaye thubutu kuipiga Israel basi Atachakazwa na Mungu mwenyewe kwa kutumia mkono ule ule wa mwanadamu,,
Shime tuipende sote Israel taifa letu la Tz nalo libarikiwe na Mungu wetu.
Kazi hip sasa hapa ujaniweka waz tabuyupuWayahudi wana siri kubwa, wao wanampa tenda mmarekani ya kutengeneza ndege zao zote za kivita huku wakisimamia utengenezaji wake kwa kutumia watalaam wao.
Zikishwa tengenezwa wanazinunua, wanazipeleka kwenye workshop zao kwa ajili ya marekebisho ili hizo ndege zikidhi viwango vya mazingira yao kivita.
Mmarekani ametoa kibali cha marekebisho ya ndege zake kwa israel pekee yake na mkataba hauruhusu israel kuifanyia marekebisho ndege ya mmarekani nchi nyingine yoyote duniani.
Kwa maana hiyo F-22 ya mmerekani ni tofaufi sana na ndege hiyohiyo iliyo kwenye jeshi la anga la israel.
Wanaoukumbuka miaka ya nyuma ufaransa iliwahi kuisaidia iraq kutengeneza kinu cha nyuklia, hicho kinu kilikua kinalindwa usiku kucha na rada za kutosha. Cha ajabu wayahudi walikishambulia usiku bila ndege zao kuonekana kwenye radar .
Waarabu waliwahi kumjia juu mrusi wakidai anawauzia rada mbovu kwa sababu hazioni ndege za israel bila kujua kuwa stealth technology kwa myahudi ilianza kutumika miaka mingi sana.
Ukweli jamaa wana technologia ya anga ambayo hata marekani hana.
Ndege zao zinaumahiri wa hali ya juu, rubani wao wa kijeshi ni moja za ajira zinazoajiri vichwa matata vya nchi hiyo.
Kwa hiyo hiyo F-35 stealth fighter jet wanaenda kuitengeneza upya na kuweka makorokoro kibao ya kieletronics ya kufa mtu.
RADAR ZA MASHARIKI YA KATI ZITAFUTE KAZI NYINGINE![]()
Mkuu kwani unafikiri hazionekani kwenye rada hata ya mtengenezaji wa hiyo ndegeWaswahili wanasema ukijuwa huu,mwenzako anajuwe ule.Kwa hiyo hapo hajafanya chochote.Mda si mrefu utasikia,inaonekana kwenye rada.
Waswahili wanasema ukijuwa huu,mwenzako anajuwe ule.Kwa hiyo hapo hajafanya chochote.Mda si mrefu utasikia,inaonekana kwenye rada.