Chama cha walimu ni jipu lafaa kutumbuliwa kinakusanya mabilioni kila mwezi wameshindwa kununua hata basi moja la kusafirisha walimu hata mabasi ya eicher na tata mmeshindwa kununua mnabaki kupiga vita ubunifu wa mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda
Ukijaribu kuangalia vitegauchumi vinavyokusanywa na hiki chama kiukweli kinamfanyia sivyo kabisa mwalimu wa Tanzania.
Kila mwl hadi anapofikia hatua ya kuretire anakua amechangia si chini ya mil.20 anakua amechangia but hela yote hyo atakachoambulia ni t_shirt na mabati 20, Ndani ya mil 20 anachonufaika nacho ni kama mil 4.
Sasa hizo hela si ndo zimeweka hivo vitegauchumi? Vyama vingine vya wafanyakazi vimewafanyia nn? Unataka kusema sector zote wafanyakazi wanamaisha mazuri isipokuwa walimu?? Hizo ni propaganda ili mvunje umoja wa walimu kwa kuwa kwenu ni tishio.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.